Najitolea kwa hiari na upendo mkubwa kumpigia kampeni Rais Samia aendelee kuongoza awamu ijayo

Kwenye utumishi uliotukuka tutakaa.But ni Bora mama aendelee kuliko tupate punguani mmoja aanze kutuchanganya.
 
Watu walio zaliwa miaka ya 75+ sahv wana miradi na wapo bize na mambo yao ....hawana muda na ushabiki wa kishamba kupoteza muda ...ukizingatia muda wa kampeni bado ...... wew ni zuzu uzalendo unaujua? Ngoja tupate katiba mpya mtajua hamjui
 
CCM NA WANACCM

KUTOKA KUWA WAPIGANIA UHURU NA WAZALENDO, NA KUJA KUWA CHAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…