Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee