Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Si kweli, Wadachi pia ni wachapakazi wazuri sana na waaminifu ila wengi si Ma-CEO duniani, hoja ya uliyemnukuu ni sahihi kabisa 100%.Kuna ukweli fulani lakini hiyo sio sababu kabisa, wahindi ni watiifu kwenye kazi zao nasi nidhamu ya juu kwenye kazi zao hasa za mahotelini, wewe kama umebahatika kusafiri Dubai tu hebu chukulia wale wahudumu wakihindi wanavyokupokea na hawa kina Juma wa kwetu. Ukitaka hotel yako ife weka wa TZ customer care zerooooooo.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.