Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
- Thread starter
- #61
Je mpaka lini? Lakini sisi waAfrika tuna shida mahali ukitaka ukijua sie tuna shida waangalie tunao ishi je wapo tayari kujifunza na sie tuwe top top CEOs?Sio zero. Bado tunajifunza. Wahindi wametoka mbali hata kabla ya mkoloni tayari walikuwa wanataifa. Mwafrika ana ugonjwa wa kisaikolojia ipo siku atapona. Akili tunazo ila hatuna dira. Mwafrika hata akigundua kitu anamuuuzia mzungu, yeye hajiamini.
Unaona Dangote ameweza kupenya mbele ya warabu wahindi na wazungu ambao ndio mabwanyenye.Tukiamua tunaweza.