Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Zanzibar ndo kigezo kikubwa sana cha mameneja wa mahoteli ya nyota 3+. Yani wanaandika kabisa nafas hii ya meneja ni lazima atokee Asia. Hawa jamaa kwenye kuleta faida kwenye kampuni wako vizuri sana mana wanapumguza matumizi ya kampuni kwa kuminya wafanyakazi.Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Wanaaminika na ni wachapa kaziNaomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Hawana mambo mengi ya Kando Kando, mtu anaenda ofisini, akitoka nyumbani, akizidi sana katoka out na familia yake that's it, kuna viwanda vya MO wanajengewa hadi Hostel humo humo, mtu anatoka juu anashuka chini anafanya kazi akimaliza anarudi juu.Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Kuna ukweli fulani lakini hiyo sio sababu kabisa, wahindi ni watiifu kwenye kazi zao na nidhamu ya juu kwenye kazi zao hasa za mahotelini, wewe kama umebahatika kusafiri Dubai tu hebu chukulia wale wahudumu wakihindi wanavyokupokea na hawa kina Juma wa kwetu. Ukitaka hotel yako ife weka wa TZ customer care zerooooooo.Zanzibar ndo kigezo kikubwa sana cha mameneja wa mahoteli ya nyota 3+. Yani wanaandika kabisa nafas hii ya meneja ni lazima atokee Asia. Hawa jamaa kwenye kuleta faida kwenye kampuni wako vizuri sana mana wanapumguza matumizi ya kampuni kwa kuminya wafanyakazi.
Niliwh kufanya kazi kisiwa kimoja hiv unguja huko, meneja wa ile kisiwa pale alikuwa muhindi. Staff house zipo ila mazingira yalikuwa mabovu sana, watu tulikuwa tunajisaidia ufukweni mana choo kiliharibika. Hela za kukitengeneza tu hazikutoka miez 5 mzee.. muhindi bajeti ya maintenance unaweza wewe mfanyakaz kutoa hela yako mfukoni
Wahindi wehu sana. Na ule uwehu wao ndo unaleta faida kwemye kampuni. Siri kuu ya utajiri ni kuminya watu wa chini (maskini), mazingira ya kazi yakiwa magum sana kwa mfanyakazi ndo faida inakuwa kubwa kwa kampuni. Hili wahindi wanaliweza kwelikweli
Yo maana nimeuliza ili nipate kujifunza shekheKuna kitu unapaswa kujifunza kwao badala ya kuwashangaa. Maana utabaki unashangaa tu na huku umri unazidi kukutupa mkono
Duniani kuna classes:Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Sitaki kuharibu uzi wa Watu, ila waarabu wengi wapo successfull kibiashara kuliko wahindi.Duniani kuna classes:
1. Wazungu - sayansi, ugunduzi
3. Wahindi - Biashara
Waarabu, waafrika Botha na Trump wameshasema sitii neno,
Wahindi wazuri ni wachache sana... Ila Wana nepotism sanawahindi wako makini na wanachokifanya, hawana utani wala masihara kwenye biashara. nazani hata sisi weusi tukiwaiga kwa hilo tutafika mbali sana.
Wamewekeza, Sana, katika elimu,kuna program mahususi Kuhakikisha vijana wa India wanapata nafasi katika vyuo vikubwa duniani, Ivy League, kama Harvard nk, kisha warudi nyumbani wakuze nchi Yao, na kuitqngaza India duniani, wapo, kwenye IT, medical, AI, nk,Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Wahindi ni overrated sanaKwanza ni wasomi, halafu wako smart sana kichwani
Hata Ulaya wameishika sana, makampuni mengi ni ya kwao
Nilikuwa naangalia jana walileta documentary kuhusu supermarket ya Asda ambayo ilinunuliwa na ndugu wawili mmoja wao anaitwa Muhsin Isa asili India
Huyu Muhsin ndio alikuwa CEO aka step down wakamleta mzungu toka M&S ila kaboronga kiasi
Asda ina supermarkets 6200
Wahindi wanajua kufanya management hasa hawatanii hiyo ni nature yao.. ni kama tunavyowasifia wachaga wakikuyu au wakika kwenye biashara.Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee