Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
 
Mtaji wa kwanza Ni akili na nguvu, then tafuta pa kuingilia. Mengine yatajipanga yenyewe mbele ya safari. Ukiwa na nauli ya kufika shamba inatosha💪
 
Back
Top Bottom