VINICIOUS JR JF-Expert Member Joined Dec 29, 2022 Posts 208 Reaction score 518 Nov 5, 2024 #1 Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
Y Yeyote Yoyote Member Joined Aug 31, 2024 Posts 25 Reaction score 41 Nov 5, 2024 #2 Mtaji wa kwanza Ni akili na nguvu, then tafuta pa kuingilia. Mengine yatajipanga yenyewe mbele ya safari. Ukiwa na nauli ya kufika shamba inatosha💪
Mtaji wa kwanza Ni akili na nguvu, then tafuta pa kuingilia. Mengine yatajipanga yenyewe mbele ya safari. Ukiwa na nauli ya kufika shamba inatosha💪