Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

Kwa taarifa yako huenda waume zao nao hawaoni uzuri unaouona kwao. Ukiwachukua ndani ya miezi sita utaanza kuangaza macho nje tena.
Pengine angefanikiwa kuingia kwenye group ya hao ndugu zake na wife asingeamini wanavyo-mnanga
 
Back
Top Bottom