Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ndoa ni ibada, inafika kipindi kweli mnachokana, hapo mnaomba Mungu awasimamie na kurudsha upendo kati yenu,,but kwangu mim dawa NYINGINE ni kuoa mtoto mzuri, so mpaka nicheat asee umpite wife uzuri na akilimliooa mana kazi sana, unawezaje kuishi na uyo kiumbe, bila kumkinai
HahahaKaka..... tunaomba fafanua kidogo..... Hapo mashemeji walipokuhudumia vizuri, walipokuonyesha Upendo, Mapenzi, Mahaba, Heshima na Kukujali Haswaa yule wa NNE kuzaliwa ....... Mpaka ukajikuta unajiona Mwanaume tena [emoji28][emoji28][emoji28]
Nadhani mke wako ndiyo huyo mwenye nyeupe , halafu ukiangalia ndugu waliomzunguka ni hatari mnooooooNdugu zangu, Wife bana kajifungua kama mwezi hivi, tunashukuru sana kwa Mungu mtoto wa 2 sasa. Safari hii tofauti na mwanzo kajifungulia hapa hapa na tukiwa tushaamia mjengoni nje ya jiji hukoo sijui.
Kama ilivyo kawaida japo tuna Dada wa kazi lazima tupate mtu wakukaa na Mzazi hapo ndo napata tabu kidogo. Mke wangu kwao wamezaliwa watano, Mwanaume mmoja na Wanawake ni wanne, yeye ni wapili kwa kuzaliwa wa kwanza ni Kaka kisha waliobaki ni wadogo zake wakike na wote wameolewa.
Picha linaanza…..
Siku mbili baada ya wife kujifungua alikuja Mdogo wake anayemfuata kaolewa Tanga huko, alikaa kama wiki 2 hivi kisha akaondoka kurudi kwake. Baada ya kuondoka akaja wa mwisho kwa kuzaliwa naye kaolewa Morogoro akakaa kama siku 10 kisha kaondoka. Juzi kaja wanne kuzaliwa kaolewa Moshi yupo mpaka sasa.
Kipindi cha kuja kwa mashemeji zangu hawa kimenifanya nijiulize nilikosea kumoa wife au ni tamaa au labda shetani? Shemeji zangu hawa wamekuwa wakinihudumia vizuri kuliko hata mke wangu kwa miaka yote 9 ya ndoa. Wamenionyesha Upendo, Mapenzi, mahaba heshima na kunijali haswaa wanne kuzaliwa . Nimejikuta najiona Mwanaume.
Uwepo wake unefanya niwe na bashasha muda wote nikiwa nyumbani she is so charming and humble. Huyu wanne kwa uzuri hamshindi mke wangu lakini Mashallah. Mama mkwe kazaa bana na ndio aliyefanana naye sana japo wote ni wazuri kwa kweli ukiacha Rangi ya Mtume waliyo copy toka kwa Baba yao.
Mimi ni mpenzi sana wa kupika ni hobi (Wife anachukuliga poa sana nikiingia jikoni ananifukuza) lakini meshemeji zangu wanajua hilo mara nyingi wamekuwa wanivuta jikoni saa nyingine najikuta nipo nao jikoni tunapika pamoja ilimradi tuwe Karibu.
Wote kwa nyakati tofauti wekemkuwa wanasifia kupitia dada wa kazi kwamba dada yao (Wife) kapata Mume Mwema sana, dada wa kazi ni wakutoka kwetu huko so ananipaga stori
Uwepo wao umenifanya niendelee kuvumilia kutomcheat wife wamenifanya mtu mwema. Ukiacha aliyopo hapa sasa nimekuwa kila mara nawapigia Mashemeji zangu waje niishi nao najisahau wana maisha yao, wanaume zao na wana watoto wao. Inafikia kipindi nawaonea wivu kwa waume zao hapo ndo shidah waungwana
Nampenda sana Wife wangu japo nishamcheat mara kadhaa, na pia sifikiri kabisa kumcheat kwa wadogo zake hawa au ndugu zangu hawa, lakini wamenionyesha Upendo, Mapenzi, mahaba heshima na Kunijali Sana bila hata kuwafanyia jambo kubwa la maana sana.
Sijawai kuwatamani kingono but kiukweli nimetokea sana kuwapenda kiasi cha kutaka kuishi nao wote kwa pamoja.
Haya mamboo yaache tuu
Over at your neighbors garden the grass is always greener...Ndugu zangu, Wife bana kajifungua kama mwezi hivi, tunashukuru sana kwa Mungu mtoto wa 2 sasa. Safari hii tofauti na mwanzo kajifungulia hapa hapa na tukiwa tushaamia mjengoni nje ya jiji hukoo sijui.
Kama ilivyo kawaida japo tuna Dada wa kazi lazima tupate mtu wakukaa na Mzazi hapo ndo napata tabu kidogo. Mke wangu kwao wamezaliwa watano, Mwanaume mmoja na Wanawake ni wanne, yeye ni wapili kwa kuzaliwa wa kwanza ni Kaka kisha waliobaki ni wadogo zake wakike na wote wameolewa.
Picha linaanza…..
Siku mbili baada ya wife kujifungua alikuja Mdogo wake anayemfuata kaolewa Tanga huko, alikaa kama wiki 2 hivi kisha akaondoka kurudi kwake. Baada ya kuondoka akaja wa mwisho kwa kuzaliwa naye kaolewa Morogoro akakaa kama siku 10 kisha kaondoka. Juzi kaja wanne kuzaliwa kaolewa Moshi yupo mpaka sasa.
Kipindi cha kuja kwa mashemeji zangu hawa kimenifanya nijiulize nilikosea kumoa wife au ni tamaa au labda shetani? Shemeji zangu hawa wamekuwa wakinihudumia vizuri kuliko hata mke wangu kwa miaka yote 9 ya ndoa. Wamenionyesha Upendo, Mapenzi, mahaba heshima na kunijali haswaa wanne kuzaliwa . Nimejikuta najiona Mwanaume.
Uwepo wake unefanya niwe na bashasha muda wote nikiwa nyumbani she is so charming and humble. Huyu wanne kwa uzuri hamshindi mke wangu lakini Mashallah. Mama mkwe kazaa bana na ndio aliyefanana naye sana japo wote ni wazuri kwa kweli ukiacha Rangi ya Mtume waliyo copy toka kwa Baba yao.
Mimi ni mpenzi sana wa kupika ni hobi (Wife anachukuliga poa sana nikiingia jikoni ananifukuza) lakini meshemeji zangu wanajua hilo mara nyingi wamekuwa wanivuta jikoni saa nyingine najikuta nipo nao jikoni tunapika pamoja ilimradi tuwe Karibu.
Wote kwa nyakati tofauti wekemkuwa wanasifia kupitia dada wa kazi kwamba dada yao (Wife) kapata Mume Mwema sana, dada wa kazi ni wakutoka kwetu huko so ananipaga stori
Uwepo wao umenifanya niendelee kuvumilia kutomcheat wife wamenifanya mtu mwema. Ukiacha aliyopo hapa sasa nimekuwa kila mara nawapigia Mashemeji zangu waje niishi nao najisahau wana maisha yao, wanaume zao na wana watoto wao. Inafikia kipindi nawaonea wivu kwa waume zao hapo ndo shidah waungwana
Nampenda sana Wife wangu japo nishamcheat mara kadhaa, na pia sifikiri kabisa kumcheat kwa wadogo zake hawa au ndugu zangu hawa, lakini wamenionyesha Upendo, Mapenzi, mahaba heshima na Kunijali Sana bila hata kuwafanyia jambo kubwa la maana sana.
Sijawai kuwatamani kingono but kiukweli nimetokea sana kuwapenda kiasi cha kutaka kuishi nao wote kwa pamoja.
Haya mamboo yaache tuu
sababu inayo kufanya uwaonee wivu ni ipi sasa kama hauwataki?
[Ahh hapa tatizo Neno wivu, kwetu ukishataja wivu bila kuweka kielezi linaleta tab Wivu wa mapenzi, wivu was maendeleo, wivu Mavazi wivu
Asante asee shukrani mnooOver at your neighbors garden the grass is always greener...
a) Kuna mkuu keshakuambia, wanakutreat vizuri kwa sababu ya maneno anayokusemea mkeo kwao. Mkeo ana picha nzuri ya kwako na hiyo ndio anayoionesha kwao. (This proves beyond doubt she is a good wife).
b) Umesema mkeo anakufukuza jikoni ukija kupika. That means she is a wife who cooks for her husband. Pia anakufukuza kwa sababu anaamiki hutakiwi kuhangaika jikoni yeye tayari anakuhangaikia. You want more respect and love?
ADVICE: mpumzishe shemeji manaake hata hapa jukwaani kuna wenzio hawajawahi kupata bahati ya kuwaona wake zao jikoni mara kwa mara. Kwa hiki kizazi cha sasa ukipikiwa na mkeo shukuru Mungu!
Nadhani mke wako ndiyo huyo mwenye nyeupe , halafu ukiangalia ndugu waliomzunguka ni hatari mnoooooo
Na huyo wa pili kushoto ndiyo wa moshi nini mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka..... tunaomba fafanua kidogo..... Hapo mashemeji walipokuhudumia vizuri, walipokuonyesha Upendo, Mapenzi, Mahaba, Heshima na Kukujali Haswaa yule wa NNE kuzaliwa ....... Mpaka ukajikuta unajiona Mwanaume tena 😅😅😅
Nimeuliza swali kwenye Tittle ndo msingi mzeee Thanks lakinisasa ww hapo umelenga nn juu ya uzi wako hunawataka mashemeji zako au unahisi kuwa nao muda wote wakuudumie kama mkeo na pia ujatoa sababu za msingi hapa unaleta mboyoyo mingi na kwere zako nying unataka nn hasa kwa hao mashemeji zako fara ww
hh ahhWe’re so used to everyone being rude, that kindness is becoming suspicious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nafanyaga kila mara japo hapendi kuulizwa ulizwa still nampenda sana Sababu kubwa alinibadilisha kutoka Kijana Mume na Sasa BabaMueleze mkeo unachokikosa kwake na unachokipata kutoka kwa dada zake.