Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

Hizo ni tamaa zako tu mkuu, wala usimsingizie shetani wa watu
 
Nakumbuka ile maneno ya..."kichwa tu wakati haina mabega'',ukija kustuka imoooo
 
Mkuu kuwa na kiasi, upendo wa ibilisi unaanzaga kama wa Malaika wa Mungu. jilinde, jilinde
 
Tamaa yako tu huna lolote , shemeji zako wameolewa sasa jichanganye kisha wakukatalie aibu utakayopata mpaka mkeo atakushangaa unaanzaje kutamani shemeji zako, mzinzi mkubwa weee!
 
Katika vitu ambavyo sipendi kupika au kukaa jikoni nadhan mkeo analinda hadhi yako wewe kama mumewe haupaswi kupika wakati yeye yupo wanapenda akihudumie lkn kumbe na wewe anataka kupika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna pimbi itakuja kuandika hapa ati "wanaume wote tutaenda mbinguni!!"

Mi nitaongoza mstari we kwenda motoni maana akili zetu tunazijua wenyewe.
 
Katika vitu ambavyo sipendi kupika au kukaa jikoni nadhan mkeo analinda hadhi yako wewe kama mumewe haupaswi kupika wakati yeye yupo wanapenda akihudumie lkn kumbe na wewe anataka kupika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukaa jikoni si tatizo, mke anapika huku mme kakaa hapo sii mbaya ni nzuri sana, lakini huyu baharia yeye anatamani shemeji zake hovyo sana huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siuseme ukweli tu kuwa

umeshaanza kuwa tafuna 😃😃😃

wahuni hamnaga maana
 
Back
Top Bottom