The Most Winner JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 733 Reaction score 960 May 24, 2020 #101 pujo said: Mh tamaa ilimponza fisi. Hiyo tabia ipo siku itakutokea puani. The Most Winner Click to expand... Hiyo hali hukuta Watu wengi tu,hasa pale unapokuwa umemzoea mke wako,ila kikubwa asiipe nafasi itaondoka tu yenyewe tu.
pujo said: Mh tamaa ilimponza fisi. Hiyo tabia ipo siku itakutokea puani. The Most Winner Click to expand... Hiyo hali hukuta Watu wengi tu,hasa pale unapokuwa umemzoea mke wako,ila kikubwa asiipe nafasi itaondoka tu yenyewe tu.
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 May 24, 2020 #102 Mwanaume ana hobby ya kupika?
E establishment JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 1,632 Reaction score 2,435 May 24, 2020 #103 Glenn said: Kwa taarifa yako huenda waume zao nao hawaoni uzuri unaouona kwao. Ukiwachukua ndani ya miezi sita utaanza kuangaza macho nje tena. Click to expand... Pengine angefanikiwa kuingia kwenye group ya hao ndugu zake na wife asingeamini wanavyo-mnanga
Glenn said: Kwa taarifa yako huenda waume zao nao hawaoni uzuri unaouona kwao. Ukiwachukua ndani ya miezi sita utaanza kuangaza macho nje tena. Click to expand... Pengine angefanikiwa kuingia kwenye group ya hao ndugu zake na wife asingeamini wanavyo-mnanga
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 May 24, 2020 #104 uzuri wa tamaa inakupeleka unapopataka