Hoja yako ni nini?Hoja yako ni sawa mkuu kwamba waislam waliteka maeneo ya Hindu na kugeuza misikiti ila hyo ni history ya zamani sana ,,
-Dini ya Hindu ndy dini iliyokuwapo India zamani kabla ya uislam kuingia,,
..Kuanzia mwaka 1190 ndy uislam ulianza kuingia India na mwaka 1200 ndy utawala wa kifalme wa kiislam uliingia rasmi India.
Hadi miaka ya 1560 ndy baadhi ya sehem ya India ilikuwa inatawaliwa na Hindu...
Ninachotaka kusema ni kwmba uislam ulikuwa India kwa miaka mingi Sana kabla ya kuja British na kutawala na walijenga misikiti mingi sn.....na hata hao waislam wa sasa history inasema walikuwa Hindu,kwahyo sio sababu ya kuvunja miskiti sasa kwamba walichukuwa maeneo yao ya temples...
Zile vurugu za kujitenga na Pakistan mwaka 1947 ,ndy wanaziendeleza hadi sasa...
Hawana sababu za msingi kuvunja miskiti,,,ni vile tu Hindu kwa sasa ni wengi na wana nguvu serikalini kuliko Muslims wa hapo.,
Wana uwezo wa kufanya chchote kwa yeyote asiye Hindu.
Wabuddha na waislamu hawapikiki chungu kimoja huko India.Buddha wanawachukulia Moslems kama wageni wanaoingilia imani,mtindo wa maisha na tamaduni zao.Ivi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako???
View: https://www.instagram.com/reel/Dd83ARlFLew/?stkn=cTJydWZoeXUzYXI1
Ulipotaja mwaka 1919 ameonesha unavyojichanganya aidha kwa kupenda au kutojua kwa hadaa.Ukweli wa Abraham wewe unajuaje na unaujua kutoka wapi!? Au unaujua kwa kitabu kipi!?
Pia usifananishe ya Israel na India udini usikufanye ukawa FALA WA FIKRA.
Jerusalem waliishi waarabu na wayahudi wa dini zote na nasaba zote. Jiulize wewe kwanini wanaojinasibu kuwa wayahudi walianza harakati za kuundwa kwa taifa mwaka 1919 mashariki ya kati!??
Walikua wapi miaka yote hiyo kabla ya 1919 kuanza harakati zao za ardhi ya kiyahudi!??
Dini ya kijinga sana. Bila uislamu hii Dunia ingekuwa nzuri sana.Hata mimi naona uislam ulianzisha Vita za dunia, vita za kupindua serikali na mikataba ya ushoga. Hata mie naona uislam ni kansa ya dunia.
Hivi Christopher Columbus alikua muislam ambaye aliongoza biashara kubwa ya utumwa duniani!??
Ni sadaka tu kama KKKT watu wanavyopeleka ndizi, miwa, Mbuzi kwenye mnada kanisani.Pia kwenye mradi au kuzindua kitu kipya huwa wana andaa nazi na kuvunja,ndizi za kuiva,udi na ile rangi wanayopaka kwenye paji la uso
Hoja yang ni kwmba wahindi wasijifiche kwenye kichaka cha waislam kubomoa temple zao na kubadilisha kuwa miskiti..Hoja yako ni nini?
Kuhusu ya Jerusalem msikiti wa Aqswa pale kuna dome mbili, silver na golden dome. Na palipojengwa ule msikiti sio eneo ambalo kulikua na hekalu. Ndio maana hata archeologists walipinga na walisema hakuna ushahidi wowote wa kiakiolojia unaoonesha pale kulikua na hekalu kabla ya kujengwa msikiti. Ndio maana wayahudi hawaubomoi ule msikiti.Misikiti mingi kwa kipindi unachosema ilijengwa kwenye maeneo yaliyokuwa mahekalu ya wahindu. Ambapo waislam walipora mahekalu hayo na kugeuza kuwa misikiti. Historia ya Utawala wa waislam huko India imejaa ukatili na damu ya kutisha. Kuna misikiti ina hadi michoro ya kihindu lakini Waislam wanadai ni yao.!
Wanachofanya wahindu ni kurejesha tu maeneo haliyokuwa yao hapo Awali.
Imagine Waislam walijenga msikiti hata alipozaliwa Lord Rama. Ambapo miaka ya karibuni India wameuvunja na kujenga upya hekalu lao lililokuwepo toka mwanzo kabla ya uislam kufika India.
Ni kama Waislam walivyoenda kujenga msikiti kwenye eneo la Wayahudi la Temple Mount pale Jerusalem....imagine wahindi wavunje al kaaba waweke hekalu lao!
Msikiti wa Gyanvapi ulioko Varanasi. Huu ni msikiti ambao baadhi ya kuta zina asili ya mahekalu ya wahindu.
Kuhusu ya Jerusalem msikiti wa Aqswa pale kuna dome mbili, silver na golden dome. Na palipojengwa ule msikiti sio eneo ambalo kulikua na hekalu. Ndio maana hata archeologists walipinga na walisema hakuna ushahidi wowote wa kiakiolojia unaoonesha pale kulikua na hekalu kabla ya kujengwa msikiti. Ndio maana wayahudi hawaubomoi ule msikiti.
Kwa issue ya India pia si sahihi kusema watawala Waislamu hawakumwaga damu au kufanya ukatili. Kuna ushahidi wa massacres, vita, utumwa na temple destruction katika vipindi mbalimbali.Kuhusu India waislam hawakuwafanyia ukatili watu wa imani zingine isipokua waliendesha superiority complex kwa kuweka utawala wao kila eneo na kuyapora maeneo. Ila hawakumwaga damu wala kunyanyasa watu.
Ulichosema kuhusu kuchukua mahekalu kugeuza misikiti ni sahihi. Hata Ottoman empire ilishageuza makanisa kuwa misikiti hadi kufikia 1700 ndio wakaacha huo mtindo.
Inferiority complex ya zamani inawasumbua wahindu kuhusu kutawaliwa na waislam.
Hata uislam hauoni faida yakoSijawahi kuiona faida ya uislamu,siioni Faida ya uislamu,sitaiona faida ya uislamu,hiyo misikiti inapaswa kubomolewa ibaki tu kwa hao walioianzisha hiyo dini
Baada ya tambiko huwa wanatoa vitu vitamu kwa ajili ya kula. Ndizi huchomwa na ncha ya udi kisha mwisho zote huliwa nazi nayo huliwa mwishoniNi sadaka tu kama KKKT watu wanavyopeleka ndizi, miwa, Mbuzi kwenye mnada kanisani.
Aisee we jamaa huwa unaandika kwa kukurupuka sana. Ilipojengwa Masjid Aqswa hakuna any archeological evidence inayoonesha pale kulijengwa hekalu na pakavunjwa. Hata link uliyoniipa hivi umeisoma ndugu yangu!?? Maana iko tofauti na tunachojadili hapa.Unafanya upotoshaji kuhusu Jerusalem kwa sababu Dome of the Rock (golden dome) na Al-Aqsa (silver/grey dome) ziko ndani ya eneo moja la Temple Mount/Haram al-Sharif.
Dai kwamba “hakuna ushahidi wa archaeological wa Temple” si sahihi. Kuna ushahidi mkubwa wa Herodian Temple Mount, ikiwemo miundo, mikveh, mawe na miundombinu ya kipindi cha Second Temple.
Kilichobaki na mjadala ni exact location na footprint ya Temple yenyewe, kwa sababu hakuna excavation kamili chini ya majengo ya Haram.
Kutokubomolewa kwa Al-Aqsa hakuthibitishi kwamba Temple haikuwepo; sababu ni za kidini, kisiasa na kiusalama. Hata hivyo lazima huu msikiti itafika wakati utavunjwa na litajengwa hekalu tena.
Israel Antiquities Authority – archaeological research
Temple destructions zijakataa ila hakuna utawala ambao wa kidini ya kiislam embu tofautisha tawala ya kidini ya kiislam na tawala ya kiongozi muislam. Hata link uliyoleta hukusoma pia umeleta link tu. Kwa mujibu wa arcticle ya link yako kuna viongozi wa Delhi sultanate ambao wana asili ya uturuki na uajemi ambao walifanya mauaji kwa kila mtu aliyekua akipinga utawala wao. Haikutajwa dini wala kabila. Pasi na kuchagua yeyote atakayewapinga basi waliuawa kikatili.Soma mwenyewe article yako.Kwa issue ya India pia si sahihi kusema watawala Waislamu hawakumwaga damu au kufanya ukatili. Kuna ushahidi wa massacres, vita, utumwa na temple destruction katika vipindi mbalimbali.
Genocidal Massacres in Medieval India (Chapter 21) - The Cambridge World History of Genocide
The Cambridge World History of Genocide - May 2023www.cambridge.org
Tawala za Waislam huko India kwa nyakati tofauti waliharibu mahekalu ya wahindu na sehemu zake kutumika kujenga misikiti; Quwwat-ul-Islam Mosque Delhi ni mfano unaojulikana.
Hapa kuhusu inferiority complex ya wahindi nakurejea sasa hivi.Sovereign Violence: Temple Destruction in India and Shrine Desecration in Iran and Central Asia | Comparative Studies in Society and History | Cambridge Core
Sovereign Violence: Temple Destruction in India and Shrine Desecration in Iran and Central Asia - Volume 57 Issue 2www.cambridge.org
Na unaposema kuwa Wahindu wote wana “inferiority complex” ni generalisation isiyoweza kuthibitishwa kisayansi labda useme katika eneo gani Waislam kwa ujumla wao ni bora kuliko Wahindu.
Ottoman empire ilikua ikibadili makanisa kuwa misikiti hadi kufikia 1700 nenda kasome historia ya mabadiliko ya utawala wa Ottoman na civilization yake. Tena nchi ya kwanza kupewa favour ya kujitawala kikristo chini ya Ottoman ni ARMENIA. Hagia sophia ilitumika kama msikiti kwa kipindi kifupi baada shughuli za ibada zikasitishwa pakahifadhiwa kama eneo la ukumbusho. Hapakuvunjwa wala kubadilishwa kitu chochote ndani ya Hagia Sophia.
Kwa upande wa Ottoman wao walibadilisha makanisa kuwa misikiti, maarufu zaidi Hagia Sophia mwaka 1453. Lakini hakuna ushahidi wa kusema kwamba walifikia 1700 ndipo wakaacha kabisa desturi hiyo.
The Conversion of Churches into Mosques after the Conquest of Constantinople
Milel ve Nihal | Volume: 23 Issue: 1dergipark.org.tr
Modern medicine inayokutibu wewe kuanzia ulipozaliwa hadi sasa ni maendeleo ya muislam AVICENNA Ibn Sinna. Sulphuric acid unayoitumia ni discovery ya muislam wa kiajemi. Algebra uliyoisoma ni discovery ya muislam Aljabbir.Sijawahi kuiona faida ya uislamu,siioni Faida ya uislamu,sitaiona faida ya uislamu,hiyo misikiti inapaswa kubomolewa ibaki tu kwa hao walioianzisha hiyo dini
Hii smarthistory umeisoma pia kaka!? Maana hapa inasema ama inaelezea mchango wa architecture ya waislam asili ya kituruki na kiajemi kwenye ujenzi maeneo ya Delhi hususan kwenye misikiti na majengo waliyojenga. Inshort ni architecture asili yao sio asili ya India. Nahisi kaka unapost tu link na hausomi nini kilichomo ndani. Ila inferiority complex ni hali ya kujihisi uko chini kulingana na sababu fulani inayokupelekea utumie nguvu au mabavu kujitutumua uoneshe wewe upo juu. Hii ndio hali wanayopitia India baada ya falme yao kuguswa mara kadhaa na falme za kiislam. Sizungumzii viongozi waislam ndani ya Hindustan bali falme za kiislam zilizowahi kuigusa na kuiweka chini falme ya Hindustan.Unafanya upotoshaji kuhusu Jerusalem kwa sababu Dome of the Rock (golden dome) na Al-Aqsa (silver/grey dome) ziko ndani ya eneo moja la Temple Mount/Haram al-Sharif.
Dai kwamba “hakuna ushahidi wa archaeological wa Temple” si sahihi. Kuna ushahidi mkubwa wa Herodian Temple Mount, ikiwemo miundo, mikveh, mawe na miundombinu ya kipindi cha Second Temple.
Kilichobaki na mjadala ni exact location na footprint ya Temple yenyewe, kwa sababu hakuna excavation kamili chini ya majengo ya Haram.
Kutokubomolewa kwa Al-Aqsa hakuthibitishi kwamba Temple haikuwepo; sababu ni za kidini, kisiasa na kiusalama. Hata hivyo lazima huu msikiti itafika wakati utavunjwa na litajengwa hekalu tena.
Israel Antiquities Authority – archaeological research
Kwa issue ya India pia si sahihi kusema watawala Waislamu hawakumwaga damu au kufanya ukatili. Kuna ushahidi wa massacres, vita, utumwa na temple destruction katika vipindi mbalimbali.
Genocidal Massacres in Medieval India (Chapter 21) - The Cambridge World History of Genocide
The Cambridge World History of Genocide - May 2023www.cambridge.org
Tawala za Waislam huko India kwa nyakati tofauti waliharibu mahekalu ya wahindu na sehemu zake kutumika kujenga misikiti; Quwwat-ul-Islam Mosque Delhi ni mfano unaojulikana.
Sovereign Violence: Temple Destruction in India and Shrine Desecration in Iran and Central Asia | Comparative Studies in Society and History | Cambridge Core
Sovereign Violence: Temple Destruction in India and Shrine Desecration in Iran and Central Asia - Volume 57 Issue 2www.cambridge.org
Na unaposema kuwa Wahindu wote wana “inferiority complex” ni generalisation isiyoweza kuthibitishwa kisayansi labda useme katika eneo gani Waislam kwa ujumla wao ni bora kuliko Wahindu.
Kwa upande wa Ottoman wao walibadilisha makanisa kuwa misikiti, maarufu zaidi Hagia Sophia mwaka 1453. Lakini hakuna ushahidi wa kusema kwamba walifikia 1700 ndipo wakaacha kabisa desturi hiyo.
The Conversion of Churches into Mosques after the Conquest of Constantinople
Milel ve Nihal | Volume: 23 Issue: 1dergipark.org.tr