Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mbona sahivi hakuna nchi yeyote ni industrial power houseModern medicine inayokutibu wewe kuanzia ulipozaliwa hadi sasa ni maendeleo ya muislam AVICENNA Ibn Sinna. Sulphuric acid unayoitumia ni discovery ya muislam wa kiajemi. Algebra uliyoisoma ni discovery ya muislam Aljabbir.
Ukobazi ni siasa zile, tena wanaweza kupigana jihad ili tu malengo yao yatimie. Kwa India wanapata kibano sana, wahindu hawataki mila na desturi zao ziharibiwe na waarabu. Ni Afrika tu ndiyo imekubali kuwa chini ya kongwa la uislam.
Sijawahi kuiona faida ya uislamu,siioni Faida ya uislamu,sitaiona faida ya uislamu,hiyo misikiti inapaswa kubomolewa ibaki tu kwa hao walioianzisha hiyo dini
Kuna nchi zenye uchumi mkubwa kwa GDP na kuna nchi tajiri. Unapozungumzia richest nations nyingi ni za kiislam.Mbona sahivi hakuna nchi yeyote ni industrial power house
Mbona waislamu wa sahivi hakuna chochote wanachovumbua
Nchi tano zenye uchumi mkubwa hakuna nchi hata moja ya kislamu
Mbona video umepost inasema ni ajali tu kugusa huo mnara au lugha haipandi?Ivi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako???
View: https://www.instagram.com/reel/Dd83ARlFLew/?stkn=cTJydWZoeXUzYXI1
Mbona video umepost inasema ni ajali tu kugusa huo mnara au lugha haipandi?
Na kama issue ni udini basi hao huwafanyia dini zote sio waislam tu. Kumbuka kifo cha waziri mkuu Indira Gandhi alipigwa risasi kama kisasi na wale singa singa sababu ya uvamizi wa awali wa jeshi kwenye mahekalu ya singa singa
Haha..hapa napo umejitetea mkuu?China wanapunguza idadi ya misikiti sio kwamba wanavunja misikiti kichuki kama India.
Sio China tu ni nchi nyingi inapunguza idadi ya nyumba za ibada na hilo wala sio jambo baya. Rwanda hapo wanapunguza hadi makanisa navyokwambia sasa hivi.Haha..hapa napo umejitetea mkuu?
Zimevumbua kitu gani cha maana ukienda hizo nchi waliojenga ni maexpert kutoka ulaya, india au pakistaniKuna nchi zenye uchumi mkubwa kwa GDP na kuna nchi tajiri. Unapozungumzia richest nations nyingi ni za kiislam.
-Kuwait,
-Qatar
-Bahrain
-Brunei.
Unasema hakuna nchi za kiislam ambazo ni industrial power house!??
Malaysia uliifuatilia?
Iran uliifuatilia?
Turkiye uliifuatilia?
Indonesia uliifuatilia?
Rwanda hawapunguzi acha uongo bali wanataka watu wawe na elimu ya dini na sio mtu anaamka na kuanza kufanya kazi ya kuhubiriSio China tu ni nchi nyingi inapunguza idadi ya nyumba za ibada na hilo wala sio jambo baya. Rwanda hapo wanapunguza hadi makanisa navyokwambia sasa hivi.
Sleep cell awana pa kujificha tenaIvi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako???
View: https://www.instagram.com/reel/Dd83ARlFLew/?stkn=cTJydWZoeXUzYXI1
Mbona unajivuruga na kwenda mbele mara kurudi nyuma?Zimevumbua kitu gani cha maana ukienda hizo nchi waliojenga ni maexpert kutoka ulaya, india au pakistani
Unajua hata aliyeplan miji kama ya riyadh na dubai ni wazungu na sio warabu
Watu wakwanza kuchimba oil middle east ni wazungu kwanini warabu hawakuwa wakwanza kama wanaakili sana
kwenye nchi 5 zenye uchumi mkubwa duniani hakuna hata nchi moja ya kislamu au kiarabuMbona unajivuruga na kwenda mbele mara kurudi nyuma?
Usihame kwenye context swali lako limesema kuhusu maendeleo ya kiuchumi sio uvumbuzi. Rejelea post yako.
Na umeitaja Pakistan hapo ilhali ni taifa la kiislam.
Bro usinifanye mie punguani mwenzako. Paul Kagame mwaka huu ameanzisha kampeni ya kupunguza nyumba za ibada ukitaka hata ushahidi nakuletea hapa. Tusitoane akili.Rwanda hawapunguzi acha uongo bali wanataka watu wawe na elimu ya dini na sio mtu anaamka na kuanza kufanya kazi ya kuhubiri
India na china wanawatesa sana waislamu ila huwezi sikia waisalmu wakiwalaumu haya ndo maajabu wako bize na israel ilihali india na china wanafanya kilekile anachofanya israel
Uchumi mkubwa kwa GDP nakubali hakuna ila RICHEST NATIONS nchi za kitajiri zinazoongoza ni za kiislam.kwenye nchi 5 zenye uchumi mkubwa duniani hakuna hata nchi moja ya kislamu au kiarabu
Utajiri unapimwa na gdp hiki ndo kigezo kikubwaUchumi mkubwa kwa GDP nakubali hakuna ila RICHEST NATIONS nchi za kitajiri zinazoongoza ni za kiislam.
Nadhani hujui aspects za kiuchumi zinapimwa kwa nyanja ngapi.
jee ndugu zako wanaopenda ndoa za jinsia moja makanisani wanapenda kitu gani ??Ndugu zetu wa mabikra 72 wanapenda kufa mashaidi sana
Hata wewe unaweza jenga nyumba yako ukaiita kanisajee ndugu zako wanaopenda ndoa za jinsia moja makanisani wanapenda kitu gani ??