[emoji23]Kama NI kweli uteuzi umefanyika kimkakati either kumkomoa Lema au kudhoofisha chama cha chadema basi mama atakua ametukosea Sana wananchi.
Sawa , uzuri wote Wana nguvu, mmoja mdomo ni mwingi mwingine vitendo vingi
Wanasema mmoja ni Mwizi WA magari mwingine Mwizi WA nyumba!!
Lema usiwe mnyonge!!!
Kama NI hivyo asingepewa jiji.. angepewa hata mkoa wa simiyu, katavi au rukwa huko.. Kule yupo kimkakati kazi ikiisha anapandishwa, anaweza kuwa hata katibu kiongozi wa kizimkaziHuwezi jua, Pengine Makonda ndo itakuwa sehemu sahihi ya kuaga mashindano ndani ya CCM. Siasa kuna mambo mengi sana.