Najiuliza, sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda?

A teller

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2018
Posts
523
Reaction score
715
Kama NI kweli uteuzi umefanyika kimkakati either kumkomoa Lema au kudhoofisha chama cha chadema basi mama atakua ametukosea Sana wananchi.

Sawa , uzuri wote Wana nguvu, mmoja mdomo ni mwingi mwingine vitendo vingi

Wanasema mmoja ni Mwizi WA magari mwingine Mwizi WA nyumba!!

Lema usiwe mnyonge!!!
 
Limakonda ni kama libwege. Siku ile naliona tu linapita huku na huku kutafuta attention. Watu wame cool kwenye majonzi yeye huku mara kule
 
Kama NI kweli uteuzi umefanyika kimkakati either kumkomoa Lema au kudhoofisha chama cha chadema basi mama atakua ametukosea Sana wananchi.

Sawa , uzuri wote Wana nguvu, mmoja mdomo ni mwingi mwingine vitendo vingi

Wanasema mmoja ni Mwizi WA magari mwingine Mwizi WA nyumba!!

Lema usiwe mnyonge!!!
[emoji23]
 
Huwezi jua, Pengine Makonda ndo itakuwa sehemu sahihi ya kuaga mashindano ndani ya CCM. Siasa kuna mambo mengi sana.
 
Kama NI hivyo asingepewa jiji.. angepewa hata mkoa wa simiyu, katavi au rukwa huko.. Kule yupo kimkakati kazi ikiisha anapandishwa, anaweza kuwa hata katibu kiongozi wa kizimkazi
 
Sipati picha, Lema mbunge ... Makonda Mkuu wa Mkoa Arusha..

Labda ndio maana Samia kamsogeza Makonda karibu ili kumpatanisha na Lema.
 
Back
Top Bottom