Binadamu wa sasa tena wa jf wanaomhasi Mungu kwa kumkana hadharani kwani wanashawishiwa na nani mkuu?
Imani ya dini ipiImani za ki dini zinafundisha kwamba Binadamu wanashawishiwa na shetani kufanya maovu.
Muovu ni mfuasi wa shetani.
Je shetani wakati anahasi alishawishiwa na nani enzi hizo ? Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuhasi ?
Nisingekukuta kwenye nyuzi kama hizi basi ningeshangaa sana ngoja niikuitie wa MUNGU Beira Boy Moisemusajiografii MaghayoHizo habari za shetani na Mungu ni hadithi tu
Mungu Baba aliwaacha viumbe wake huru sana hapo awali.Ulifika muda wakawa wanataka kugusa hadi nyaya za umeme.Sikuelekezi usome sehemu gani ya bible.Anzia mwanzo.Nisingekukuta kwenye nyuzi kama hizi basi ningeshangaa sana ngoja niikuitie wa MUNGU Beira Boy Moisemusajiografii Maghayo
Yes, swali lake ni zuri sana tu, sababu kumbuka bibilia inasema kwenye mbingu mpya na nchi mpya dhambi haita kuwemo... Sasa je kivipi wakati hata mbinguni hakukuwa na dhambi lakini shetani alipata wazo la dhambi?Mungu Baba aliwaacha viumbe wake huru sana hapo awali.Ulifika muda wakawa wanataka kugusa hadi nyaya za umeme.Sikuelekezi usome sehemu gani ya bible.Anzia mwanzo.
Hawaamini uwepo wa shetani Wala Mungu...huyo shetani anawashawishi muda gani mkuu?Imani za ki dini zinafundisha kwamba Binadamu wanashawishiwa na shetani kufanya maovu.
Muovu ni mfuasi wa shetani.
Je shetani wakati anahasi alishawishiwa na nani enzi hizo ? Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuhasi ?
Kuasi, ondoa hHili swali huwa najiuliza sana
Ni nani alimshawishi shetani kumuhasi Mungu?
Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuhasi ?