Hahaaa aisee.Dar mnapanda mshikaki kwenye bodaboda wanaume huku mmeshikana viounoni
Tafadhali watake radhi wanaume wetu wa Dar![emoji53]Dar es salaam hakuna wanaume bali kuna watoto wa kiume....
Bila shaka wanamume wenzangu wameshanielewa...!!!
Kwa upande wangu naona bora mara 1000000 kuwa mwanaume wa dar kuliko wa shamba kwa sababu zifuatazo.
Dar kuna kila kitu ambacho Mikoani baadhi kupatikana shida.
Dar hatulimi ila unachotaka kula kipo.Tofaut na mikoani
Dar Hatukai kizembe zembe akili ndio msing wa Maisha tofaut na mikoani.
Najivunia kuwa mwanaume wa dar.
Sasa dar unakuta mwanaume anakula soseji, chips, baga,kuku wa kizungu,ice cream, mara mchemsho cjui, alafu anajisifu anakula anachotaka wakat vyote hivyo ni vyakula vya kula wanawake...na bado akila anabakza.
πππ jamani acheni kunivunja mbavu wanaume wa dar mmeyataka. Hahahaha
Mishkaki ya bodaboda Dar!? Hii ipo sana mikoaniDar mnapanda mshikaki kwenye bodaboda wanaume huku mmeshikana viounoni
Kuna watu mna utani wa ngumi aiseeeDar mnapanda mshikaki kwenye bodaboda wanaume huku mmeshikana viounoni