Najivunia kuwa Mwanaume wa Dar

Najivunia kuwa Mwanaume wa Dar

Kiagoh92

Senior Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
101
Reaction score
56
Kwa upande wangu naona bora mara 1000000 kuwa mwanaume wa dar kuliko wa shamba kwa sababu zifuatazo.

Dar kuna kila kitu ambacho Mikoani baadhi kupatikana shida.

Dar hatulimi ila unachotaka kula kipo.Tofaut na mikoani

Dar Hatukai kizembe zembe akili ndio msing wa Maisha tofaut na mikoani.

Najivunia kuwa mwanaume wa dar.
 
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnakula kwa hisani ya kazi za Dada zenu wanazo zifanya usiku.


Mwanaume wa Dar anakunywa soda na biscuit ya 500 kashiba kabisa na analala

Wanaume wa Dar baadhi yenu mnajichubua pia kama wanawake wasio jikubali.

Wanaume wa Dar baadhi yenu mnajipaka mafuta kwenye lips mkidai zinakauka.


Wanaume wa Dar baadhi yenu mnashinda kwenye kioo mkijipodoa

Wanaume wa Dar baadhi yenu mkitoka bafun mnavua nguo zote mnajipaka mafuta mwili mzima, sisi wa mkoani tunajipaka mafuta baada ya kuvaa nguo tukimaliza kuoga.


Wanaume wa Dar baadhi yenu ni wambea, wambea tu kama wanawake


Wanaume wa Dar baadhi yenu mnamapozi ya kike sana mpigapo picha, mfano kulamba, kungata lips wakati wa upigaji wa picha.

Kwa leo niishie hapo.
 
Kwa upande wangu naona bora mara 1000000 kuwa mwanaume wa dar kuliko wa shamba kwa sababu zifuatazo.

Dar kuna kila kitu ambacho Mikoani baadhi kupatikana shida.

Dar hatulimi ila unachotaka kula kipo.Tofaut na mikoani

Dar Hatukai kizembe zembe akili ndio msing wa Maisha tofaut na mikoani.

Najivunia kuwa mwanaume wa dar.


Mkoani tuna hela huko dar hakuna kazi...wanaume wengi kama tujuavyo mko tata, tamaa zimewazidi na hamtaki kufanya kazi hivyo mnabakia kuliwa na wanaume wenzenu haswa watokao mikoani kuja huko kutanua. Kuna faida gani kijana wa miaka 25 mpaka 35 unaishi na wazazi wako ila hauna kazi, unakomaa tu na jiji kusubiria kuhongwa n wanaume wenzako? Ndiyo maana wanawake wenu siku hizi wanawakimbia. Uzuri wa mikoani kama una hela unaagizia tu kitu toka Dar kama kweli unakihitaji….ila kwa sasa karibia mikoa mingi ya Tanzania kila kitu kinapatikana si mpaka uende jiji la wanaume tata, Dar. Hivi husikii hata haibu kujiita wanamme wa Dar?
 
Sasa dar unakuta mwanaume anakula soseji, chips, baga,kuku wa kizungu,ice cream, mara mchemsho cjui, alafu anajisifu anakula anachotaka wakat vyote hivyo ni vyakula vya kula wanawake...na bado akila anabakza.
 
Sasa dar unakuta mwanaume anakula soseji, chips, baga,kuku wa kizungu,ice cream, mara mchemsho cjui, alafu anajisifu anakula anachotaka wakat vyote hivyo ni vyakula vya kula wanawake...na bado akila anabakza.



Hawa pasua kichwa kweli

Mwanaume wa Dar anakunywa soda na biscuit ya 500 kashiba kabisa na analala.
 
Mwanaume wa dar ni yule aliyezaliwa hapohapo dar au hata wakuja??
 
😀😀😀 jamani acheni kunivunja mbavu wanaume wa dar mmeyataka. Hahahaha
 
Nyie si ndio kutwa mnatupigia sm mkiomba hata buku m pesa mbet, mkituona mjini tumekuja na shughuli zetu hatuachi mnagudanga kama ruba mnataka tuwatoe
Nyie si ndio mnashinda mmevaa sandas na car wash mmevaa kamatia chini mmenyoa viduku, mmejichubua, nyie si ndio zamani mlikiwa na camp sasa hivi mnateam wema team hamisa haaa haaa wanaume wa dar bwana kutwa mpo kufutilia udaku, nyie si ndio mkilala mnaweka ndoo mlangoni kibaka asingie,nyie si ndio teja mwenye kilo 40 anakupola sm unamkimbia kisa kashika kisu.
 
Wanaume wa dar mnakimbizwa na panya road eti scorpion kakalisha mtaa mzima anamtoboa mtu macho niye mnaangalia tu
 
Back
Top Bottom