Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Last edited by a moderator:
Nakwambia Madame B yaani umenena kweli tupu, my husband watu8 hapa habanduki..... Tunawatunza vyema... Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

Nimeona shost measkron yani hapa ni burdani kwa kwenda mbele.
Vimwana wakali wakiwa na vidume wakali toka Jf.
Nisalimie shem wangu watu8, mwambie nimemmiss.
 
Last edited by a moderator:
Kweli kumbe hata kunguru wa zanzibar wamafugika miaka hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…