Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuhurumia sana Ben Saanane! Hivi unajua wewe na Madame B uhusiano wenu ulianza barabarani tu?
Ole wako ukose uprezidaa...utaachwa mchana kweupee!!
BTW mnapendezea sana na ningependa uhusiano wenu udumu ila ndo hivyo tena!! Nitarudi kwa ushauri.
Hehehehehehe sijakuelewaTeh teh teh!kwa hiyo mimi ni kaka yako?
Ha ha ha sweetlady,
ili uwe mkomboa nchi mzuri ni lazima pia uwe na patna wa shoka kama Mandela na winnie,kama Samora na Graca,Kama Nyerere na Maria ila uepuke Imelda Marcos au Delilah wa Samsoni
Hehehehehehe sijakuelewa
Wewe naona unajichanganya wewe..!! pumzika kwanzaMadame B ni wifi yako!Mimi ni mchumba wa Madame B,sasa mimi na wewe tuna uhusiano gani?
Kumbe Ben Saanane unajua kubembeleza namna hiyo!!!!!!!
Hivi utaweza kweli kuvumilia mangumi na mateke kila mara?
Muulize Arushaone alivyokua anakula kichapo mpaka ikabidi aime "nakupa talaka, bebiiii, kwa shingo upande".
Ila vumilia tu maisha ni kutafuta na wala sio kutafutana.
Ni kweli Ben Saanane ila kwa Madame B mmmh..... Sina hakika kama ni mwanamke wa shoka kama hao uliowataja...... Isijekuwa ametumwa akupoteze !
Hahahha saudari mimi nina ukomavu.
CC: Arushaone, Zion Daughter
CC:Wachumba zangu wa Zamani-Kwa ushuhuda
saudari,Ben Saanane hapo je?
Utachomoka kweli?