Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahari iko mbele yangu,niendako sipaoni,ni kama mwanafunzi wa form 4 aliyezungusha ama kutaga yai baada ya familia yao kuuza ng'ombe wote ili asome.
Lahaula sikubali ntaenda kwa Bishanga nasikia kafungua kabiashara kapya anajiita mganga maarufu toka bukoba, amsahaulishe Ben Saanane amwite Madame B dada yake
Nimekuaje kwani?
Nicas Mtei my sweet husband njoo umsikie huyu nitonye
Dada Madame B,naona hatimaye wengine tutapata nafasi ya kuja kukusalimu ikulu,LOL!
Unamwitia nini huyo kwani tulipokuwa tunamtafuta huyo mtoto Nicas Mtei alikuwepo?
Asante kaka, ila....Ben Saanane na Lady Madame B nawatakieni kila lakheri.
Ila kaka ukianza kuona dalili za jogoo kutopanda mtungi ujue Komando wa Kichina kakushikisha leso ya Mwakyembe