CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Hongereni Madame B na Ben Saanane
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu Kima Mchanga.
Nakupendaje jamani?
Karibu Ikulu tule mpunga wa kuapishwa kwa mume wangu Ben Saanane.
Ben Saanane na Lady Madame B nawatakieni kila lakheri.
Ila kaka ukianza kuona dalili za jogoo kutopanda mtungi ujue Komando wa Kichina kakushikisha leso ya Mwakyembe
Hongereni Madame B na Ben Saanane
Ajikute tu anaanza....lol
Alaaaaah...hujui kumbeWifi yako kwa nani?
Hahaahahaha Madame B hilo gunia la misumari mama, limenishinda zamani nkalitua pwaaaaaaa sitaki shida mie..... Nae aliniona wa ninu sahizi ananikodolea mijicho..... Mtoe nje asitupigie makelele humu ndani....
Shemeji Ben Saanane hebu waambie vijana wako wa red brigade wamtoe nitonye nje anasumbua huku
Hahahahahahaha...na mavuvuzela na filimbi pamoja na ngoma zimo