Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Kweli mama wa watoto wangu rudisha moyo wako nyuma,,
kama ningeweza kuzirudisha siku nyuma,,hata magoti ningepiga ili nipate wako msamaha,nakusihi upunguze hasira Madame B
we nidanganye nidanganye tu hata kama nikikukuta na Ben Saanane chumbani we nidanganye angalau moyo wangu utulie usiniambie ukweli ningekusihi Madame B upunguze hasiraaa uwe na moyo wa subira,,
Chimbuvu mpenzi wangu wa moyo.
Kumbuka ulikuwa na nafasi kubwa sana ndani ya moyo wangu.
Na ulidiriki hata kumwambia shemeji C6 jinsi unavyojisikia ukiwa na mimi.
Ila tatizo lako ni moja tu, Ulishindwa kuniambia kuwa unataka kuoa.
Mie mwenyewe nakukumbuka sana mpenzi wangu.
Sijakutupa.
Bado nakuwaza.
Ila "mapenzi yetu yawe ya siri".
Mbona wenzako tedo, Chilli na Remote hawalalamiki?
Mweeehhh!!!
Last edited by a moderator: