Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Mwanaume hajitambulishi bibi weww. Anatambulishwa na majukumu. Madame B kampendea huo huo uanasiasa. Dume la maana linalopigania nchi yake.
Shem Ben Saanane usiache kupambana na kamwe hakuna kurudi nyuma. Np retreat no surrender! Here here together we stand, united front.

Mndele mwenzangu King'asti.
Mwaka huu lazima First Lady atokee pande za TA.
Chezea kulikoungua shoka likabaki mpini.
Copy: we mwenyewe, shem watu8 akifuatiwa na KOKUTONA, watoto toka TA.
Dume anaeitetea nchi yake.
 
Last edited by a moderator:
images
mwee unamfaidi sana huyu Madame B lol

Nivea we acha tu.
Nitaanza kutafuta bodigadi wangu, tutanue nae mjini.
Copy: Mrembo by Nature.
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA mpenzi, mapenzi yanaweza hamisha mlima kupeleka baharini.
Unamkumbuka yule afsa wa jeshi alievuliwa ukamanda kwa kukolezwa na penzi la kimada?
Sasa ndo huku tunakoelekea.
M4C wanamcheki tu.

Salute Madame B.

Nakukubali
 
Last edited by a moderator:
He he he, walosema hapendeki, huyo anapendwa hadharani
Walosema si mzuri, uzuri uko kwa jicho la mwonaji.

Haya mababu, mashosti na mawifi na kadhalika njooni mshereheshe penzi lililofurika.

cc @FP, Dark City, snowhite, King'asti

Afu mjukuu mwenzangu ulienda wapi?
Usimwambie babu yetu Dark City taarifa hii, maana nahisi nitachezea mijeledi mpaka nivimbe mwili.
Siri yangu na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Wee, ulikuwa mafichoni, mwenzio kaja hadharani tena bila mtutu wa bunduki wala nini

Kalevywa na penzi tu, chezea chin chong wewe ya madame b

Hahaha Kongosho my dear.
Hapana chezea ile.
Yanunua gari,
Yajenga nyumba,
Yaachanisha ndoa,
Yasomesha watoto,
Yanunua nguo, mapochi, viatu...yote hiyo ni Ching Chong.
Kongosho umenichekesha sana.
Eti ching chong, haha haaaa!
Aisee raha sana, nimechekaje.
 
Last edited by a moderator:
Wee, ulikuwa mafichoni, mwenzio kaja hadharani tena bila mtutu wa bunduki wala nini

Kalevywa na penzi tu, chezea chin chong wewe ya madame b

Hahaha Kongosho my dear.
Hapana chezea ile.
Yanunua gari,
Yajenga nyumba,
Yaachanisha ndoa,
Yasomesha watoto,
Yanunua nguo, mapochi, viatu...yote hiyo ni Ching Chong.
Kongosho umenichekesha sana.
Eti ching chong, haha haaaa!
Aisee raha sana, nimechekaje.
 
Last edited by a moderator:
Afu mjukuu mwenzangu ulienda wapi?
Usimwambie babu yetu Dark City taarifa hii, maana nahisi nitachezea mijeledi mpaka nivimbe mwili.
Siri yangu na wewe

Babu Dark City ni mstaarabu atakupiga kwa maneno mpaka ulie!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom