Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUKUTUKU wakati unaendelea kusubiri anza ndogo ndogoSawa mkuu,ngoja tusubiri majibu yake [ Madame B ]!
Khaaaaa yamekuwa hayo
Ruttashobolwa umeingia list ya wasiotutakia mema tena?kwikwiiiiiiiiikwiiiii hapa lazima atote
Chimbuvu,Historia fupi ya ex mke wangu Madame B
nilimkuta mtoto uso una chunusi,nikapata kazi ya kuuremba uso.
Mtoto alikuwa na nyayo zilizochanika miguuni ka steel wire nikampa lotion miguu ikawa milaini kama skonzi.
Madame B alikuwa na nywele ka mkutano wa inzi,nikampeleka saluni,leo anarembeshwa na rasta,
Madame B alikuwa ana nguo moja tu ambayo ni gauni,lakini nikampeleka shopping nguo kajaza mabati matano.
Madame B alikuwa na ndala,nikamnunulia viatu,leo ana pea zaidi ya ef 5.
Madame B alikuwa anaendesha baiskeli,nikamnunulia mercedes benz.
Leo Madame B ananigeuka kwenda kwa Ben Saanane ambaye naye nilimpokea calcuta india,nikamsaidia pocket money.
Kweli kikulacho ki nguoni mwako,
rafiki yako ndio adui yako.