Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Dah!!!
Mpenzi wangu Ben Saanane...umepotea kama upepo.
Kama uko salama, tutaonana tu.
Ila kama in mipango ya Allah, tutakutana peponi.
Love you!!!!
Not to sound cruel but unatunza penzi lake au masela wamesha make Y as a subject? ..... Naomba nimalize kwa kupa Pole kwa kupotelea na kipenzi chako
 
Not to sound cruel but unatunza penzi lake au masela wamesha make Y as a subject? ..... Naomba nimalize kwa kupa Pole kwa kupotelea na kipenzi chako
Asante.
Jamani tangu 2016 December natunza penzi lake tu?
Nililitunza but naona nitapata ugonjwa was mfadhaiko.
 
Daah kumbe Ben alikuwaga anachitchatika na yeye
Hahahaha
Khantwe bhana
Muda mwingine inabidi mambo ya nyuma ya keyboard yawe mbele na halisi.
But...ndio tulikuwa tunaanza.
Sijajua endapo angekuwepo mpaka sasa, tungekuwa wapi!

Ila mimi nina mkosi....yule mwingine nae kafa, huyu ndo sijajua kama yu hai au ndo kaondoka.
 
Nimejisikia huzuni kubwa kumkosa huyu ndugu....
We shall meet you Ben
 
Bado Naendelea kukusubiri.
Nina imani ipo siku utarudi.....❤️❤️❤️
 
Jamaa alikuwa na Elimu nzuri
Alikuwa very humble
Alikuwa ana umri mdogo
Alikuwa visionary
Alikuwa Kijana mwenye nguvu ,akili na upeo mkubwa.

Ila akaamua kuchagua upande tofauti wa kisiasa

Akapotezwa
Akabaki historia


Then huwa sielewi ni kweli tumeshindwa kuujua ukweli about this guy ni kweli walimchukua huyu Kijana tunashindwa kuwadukua akili zao na kuupata ukweli?



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…