cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Asante.
Jamani tangu 2016 December natunza penzi lake tu?
Nililitunza but naona nitapata ugonjwa was mfadhaiko.
Hi inauma BBado Naendelea kukusubiri.
Nina imani ipo siku utarudi.....β€οΈβ€οΈβ€οΈ
Sana, sema sina la kufanya!!!Hi inauma B
Asante mwaya,Pole, bado unamtunzia ila una onja onja au?
Lione! sio kuamua ni unaonja haswa...π€£Asante mwaya,
Namtunzia, japo wakati mwingine uzalendo unanishinda na kuamua kuonja onja π!
Siku moja moja jamani inaruhusiwa.Lione! sio kuamua ni unaonja haswa...π€£
Tumeshapoa.Pole sana
basi namimi siku moja moja nitakuja kukutembelea au unasemaje..?Siku moja moja jamani inaruhusiwa.
Japo si sana!!!
Pole sana,wamechukua mzima mzima.Asante mwaya,
Namtunzia, japo wakati mwingine uzalendo unanishinda na kuamua kuonja onja π!
Nina imani atarudi tuPole sana,wamechukua mzima mzima.
Jamani kumbe uliachwa mjane.pole SanaNina imani atarudi tu
ππJamani kumbe uliachwa mjane.pole Sana
Kamdangie hata mbowe upunguze machungu
Lipumba ana madhara gani.jiweke hata paleππ
Ujane unachosha, we acha tu.
Mhhh!!....wanasiasa tena, hapana!!
Bora nidili na hawa wa uraiani tu.
Very sad. Sometimes ni Bora Umzike mtu Moyo wako utatulia Kuliko kukaa Hujui hatima yake ilikuwaje.Sana, sema sina la kufanya!!!
Duh, hivi huyu kijana ndiyo akapotezwa jumla!? Mungu huyu jamani!Asante mwaya,
Namtunzia, japo wakati mwingine uzalendo unanishinda na kuamua kuonja onja π!
Hapana aisee.Lipumba ana madhara gani.jiweke hata pale
Kabisa, hili liko wazi.Very sad. Sometimes ni Bora Umzike mtu Moyo wako utatulia Kuliko kukaa Hujui hatima yake ilikuwaje.
Ndio hivo.Duh, hivi huyu kijana ndiyo akapotezwa jumla!? Mungu huyu jamani!