Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Hapana KOKUTONA mpenzi!!!
Hapana na usiseme hivo kabisa.
Najua ni ngumu kusahau, ila jikaze mpenzi.
Mungu alikuwa na makusudi yake.
Tazama mie kwa jinsi mlivyonifariji, lakini nilipiga moyo konde.
Nilikubaliana na hali ile.
Na ndio maana kila siku siachi kuwasalimia humu, kwa maana najua ninyi ni zaidi ya ndugu, kaka zangu, dada zangu, wadogo zangu na kila kitu.
KOKUTONA, piga moyo konde mamito.
Tuko pamoja.

I am doing my best rafiki, i know with time things gonna be alright.....

Humu ndo kama nyumbani kwangu, yaani JF ndo kuna sitting room yangu....kitchen yangu, bed room yangu libary na praying room.


So JF is my home, people humu make me lough and sleep daily
 
Back
Top Bottom