Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Karibu sana The secretary achana na kiwatengu anakutisha tuu
naona upo jukwaa la kukaribisha wageni :A S-confused1:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana The secretary achana na kiwatengu anakutisha tuu
unavyoendelea kuongea hivyo unanizidishia hasira maana nimepataa hasara kubwa ile day one hadi sitaki kusikia hilo shirika ......wakubwa wanafaidi kila kona
naona upo jukwaa la kukaribisha wageni :A S-confused1:
usifanye hivyo bwana...Lol...napita tu wakubwa
Hujapata hasara kama niliyoipata juzi sisi walikata siku tatu kuja kuangalia kwenye frigde kila kitu kimeharibika............. yaani ilikuwa ni hasara juu ya hasara Blaki Womani sitaki kuwasikia hawa jamaa na ndo maana najipanga tuu kuweka solar hawana maana kabisa hawa watu
Ameachwa na Bishanga tunamleta kwenu mumpeleke kwenye mtura
Lady doctor hanitishi hata chembe halafu leo kanywa gongo nyingi kinoma
kweli yafaa kujipanga kuweka sola.....bado hizo gharama mpya nilisikia kuna freezer la gas?
Bishanga apotee kiasi hicho hata kama ni faranga angekuwa hata anabeep ila hii ni kali aiseasijali hali kama hiyo ilinipata nilipotelekezwa na Arushaone The secretary pole mwaya amekwenda kutafuta faranga akija utaenjoy matunda
mbona maelezo mengi sana kiwatengu kwani umeulizwa naona unajieleza sana
Wameokoka siku hizi hawalimi tena wanalima mchicha na nyanya
nitumie MPesa nikutumie moja huku mtwara yamejaa
Kwa solar bora uingie gharama mara moja itakayokufanya miaka kadhaa usipate shida ya sijui umeme umekata au sijui mgao labda Mungu aamue kuchukua jua lake sasa hapo
Bishanga apotee kiasi hicho hata kama ni faranga angekuwa hata anabeep ila hii ni kali aise
Ha ha ha ha! ulionyesha mshangao, ulionishtua nkajua wife akiona na yeye atashtuliwa na mshangao wako! maelezo yangu mengi, yanasababu ati! #kutunzandoa
kalishwa limbwata toka Congo mtamwona 2014