CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Nov 7, 2023 #121 enzo1988 said: Ukitoa kufungwa na Yanga, naomba sababu kuu tatu zilizokuwa za lazima kocha afukuzwe! Click to expand... Wamemuangushia Jumba la Lawama Robert viongozi wa simba hawana akili. Amefukuzwa kwa sababu. 1. Matokeo ya timu kwenye michezo ya kimataifa yalikuwa mabovu. 2. Mpira wa Robertinho ulikuwa mbovu mno, fittness level ya wachezaji ilikuwa chini sana . 3. Brazil haijawahi kuwa na kocha mzuri miaka yote. 4. Kufungwa na Mtani Goli 5 ni goli nyingi mno.
enzo1988 said: Ukitoa kufungwa na Yanga, naomba sababu kuu tatu zilizokuwa za lazima kocha afukuzwe! Click to expand... Wamemuangushia Jumba la Lawama Robert viongozi wa simba hawana akili. Amefukuzwa kwa sababu. 1. Matokeo ya timu kwenye michezo ya kimataifa yalikuwa mabovu. 2. Mpira wa Robertinho ulikuwa mbovu mno, fittness level ya wachezaji ilikuwa chini sana . 3. Brazil haijawahi kuwa na kocha mzuri miaka yote. 4. Kufungwa na Mtani Goli 5 ni goli nyingi mno.
enzo1988 JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 1,838 Reaction score 7,346 Nov 7, 2023 #122 CAPO DELGADO said: Matokeo ya timu kwenye michezo ya kimataifa yalikuwa mabovu. Click to expand... CAPO DELGADO said: Brazil haijawahi kuwa na kocha mzuri miaka yote. Click to expand... Samahani ndugu, umetumia akili kubwa katika kujibu?? Namaanisha kuwa huu ndiyo mwisho wa akili yako? Upo tayari tuanzie akili yako ilipoishia?
CAPO DELGADO said: Matokeo ya timu kwenye michezo ya kimataifa yalikuwa mabovu. Click to expand... CAPO DELGADO said: Brazil haijawahi kuwa na kocha mzuri miaka yote. Click to expand... Samahani ndugu, umetumia akili kubwa katika kujibu?? Namaanisha kuwa huu ndiyo mwisho wa akili yako? Upo tayari tuanzie akili yako ilipoishia?
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Nov 7, 2023 #123 enzo1988 said: Samahani ndugu, umetumia akili kubwa katika kujibu?? Namaanisha kuwa huu ndiyo mwisho wa akili yako? Upo tayari tuanzie akili yako ilipoishia? Click to expand... Karibu
enzo1988 said: Samahani ndugu, umetumia akili kubwa katika kujibu?? Namaanisha kuwa huu ndiyo mwisho wa akili yako? Upo tayari tuanzie akili yako ilipoishia? Click to expand... Karibu
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Nov 7, 2023 #124 Hapo katika wote uliowataja hakuna kocha wa kuifundisha simba hapo ibenge mpira wake bahati bahati tu makocha wapo kibao huko hawana team. M
Hapo katika wote uliowataja hakuna kocha wa kuifundisha simba hapo ibenge mpira wake bahati bahati tu makocha wapo kibao huko hawana team. M
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Nov 7, 2023 #125 masafi said: Mungu wangu! Yanga tumemponza kocha wao Click to expand... Tunafanyaje sasa, kama waliingia kwenye mfumo unategemea nini?
masafi said: Mungu wangu! Yanga tumemponza kocha wao Click to expand... Tunafanyaje sasa, kama waliingia kwenye mfumo unategemea nini?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Nov 7, 2023 #126 Reptilia said: Dah pira obujekitivu ndo linasepa hivo au Click to expand... Lilikuwa ni suala la muda tu
Reptilia said: Dah pira obujekitivu ndo linasepa hivo au Click to expand... Lilikuwa ni suala la muda tu
ndalibanyo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 415 Reaction score 400 Nov 7, 2023 #127 ukikaidi utapigwa2 said: Nabi anaongoza ligi huko Morocco wana hela ya kuvunja mkataba? wakachukue kocha Ihefu wao si wanataka kocha wa kumfunga Yanga Click to expand... π π π π π
ukikaidi utapigwa2 said: Nabi anaongoza ligi huko Morocco wana hela ya kuvunja mkataba? wakachukue kocha Ihefu wao si wanataka kocha wa kumfunga Yanga Click to expand... π π π π π