Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

Wewe unaongelea goal gani? Mbona kama unatuchanganyia Mambo.
Mpira ungemfikia Nan ? Kuna mchezaji alikwepa ule mpira au wewe una freekick yako ya kufikirika maana unavyovisema havipo.
 
Wewe unaongelea goal gani? Mbona kama unatuchanganyia Mambo.
Mpira ungemfikia Nan ? Kuna mchezaji alikwepa ule mpira au wewe una freekick yako ya kufikirika maana unavyovisema havipo.
Sema hapa nashindwa kuiweka hiyo video afu ungejionea hiki nacho kisema hapa.
Sitaki hata kubishana mie.
 
Labda nina mahaba kwa saint gaucho, simuoni Neymar akimzidi minjino kwa chochote kile.
Tafuta clip zao, utaona neymar ni ana skills za hatari, shida tu alizidisha show game, anaweza simamisha ball ili ampige mtu kanzu au tobo, akili za neymar ni kama okocha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…