Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Njia pekee ya hili tatizo ni kuoa bikira


Hata huyo siku akijakujua unachepuka na yeye ataanza kuchepuka kwa taarifa yako [emoji108]

Kwa hiyo labda uishi naye kwa akili na uaminifu kinyume na hapo nawajua waloolewa wakiwa bikira hawajawahi kulalwa na Mwanaume lakini baada ya kuja kuwa disappointed na waume zao kwenye ndoa walianza kujiongeza [emoji108]
 
True
 
Mkuu endelea kula mzigo huo,,, achana na kufuatilia sms za Demu wako...utakuja kufa kabla ya siku zako
 
Wewe ni mwanaume ama Mvulana au kijana? Mbona unakuwa dhaifu sana kwa mwanamke mwambie ukweli unajua ana mahusiano na X hivyo mpe nafasi ya kuamua mwenyewe. Unapenda k ya bure kumbuka utajitibia kwa gharama na kula kunde kila siku. Achana na udhaifu huo. Simama kama mwanaume. Unajua kbs jamaa linatomba wewe unavumilia. Tafuta hela unataka ufahari wa kupiga bao 4 wakati hauna hata mia mfukoni. Acha kupenda mteremko.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Nikivuta picha na mambo anayonipa eti na jamaa mwingine anapewa hivyo hivyo.. napata hasira natamani hata kulia.
Wivu wa aina hiyo wanao wanawake. We fanya unayofanya na mwili wake maliza angaika na maendeleo yako binafsi ya maisha.

NIKIFIKIRIA ANAYONIPA ETI NA JAMAA MWINGINE ANAPEWA NATAMANI HATA KULIA😂😂😂😂😂

Una matatizo gani??
 
Huyu ni Mtaji kiuno, hana mambo ya msingi ya maendeleo ya kuwaza na kufanya kama tulivyo wanaume wengine, angekuwa nayo hilo lisingekuwa tatizo kubwa kwake.

Anataka kulia akifikiria mwanamke anatumiwa na wengine huku yeye anapiga bao nne.............😂😂😂
 
Mkuu umenena ukweli mtupu

Sent from my Nokia 2.2 using JamiiForums mobile app
 
Btw siwezi kuact kwa ushauri wa watu mtandaoni.. kwanza unaweza kukuta wengi wanaoshauri hawana hata dem .. wengine unakuta ni madogo waliopata matokeo ya form 4 juzi. So hapa napunguza stress tu.. maamuzi nitafanya mwenyewe..
kila la kheri!
 
Nikivuta picha na mambo anayonipa eti na jamaa mwingine anapewa hivyo hivyo.. napata hasira natamani hata kulia.
Kuna uwezekano mkubwa huyo jamaa anazungushwa na bado hwajaingia kwenye mahusiano seriously
 
Nikivuta picha na mambo anayonipa eti na jamaa mwingine anapewa hivyo hivyo.. napata hasira natamani hata kulia.
Kuna moment kama hiyo naipitia [emoji23][emoji23]nachofanya ni kubadilisha malengo, kuwa makini na mgonjwa & kubambikiwa mimba
 
Mwanakulitafuta ni mwanakulinywa
 
Fact nilikuwa na demu wangu naye ana jamaa yake, cha ajabu sasa anakaa na mimi mda wote kwanza ijumaa nikimchukua namrudisha jumatatu, na hizo siku za week tunaonana kila siku nikitoka job na anaweza kuja kulala kwangu mda wowote, ni mimi tuu nilikuwa nnamkimbia

Hiyo siku amelewa na tupo na rafiki zake akaropoka ninamfanya hata akose muda na boyfriend wake, nilicheka kimya kimya nkasema huyo jamaa ana kazi, tunavyoongea sasa hivi jamaa kachumbia, ila nikitaka ninapiga mda wowote na akija nilipo lazima achezee mjegejo
 
Pole sana baharia.

Ahsante kwa kutushirikisha hili jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…