Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Basi nikazima simu nikairudisha tu.. alipotoka chooni sikumwambia kitu.. kwa hasira nikampiga bao zangu kama 4 akaondoka kwao. Kama baada ya siku 3 nikamuuliza kama ana mtu yyte either kama ni mpya au wakati tunaingia kwenye mahusiano alikuepo..
hapo kwenye bao 4 umetuchota mkulungwa.
 
Hilo nalo ni jambo la kushirikisha watu? Kama unalelewa LAZIMA UUMIE TU, hakuna namna. Fanya kazi zako, jitegemee.
 
Analelewa huyo, na hiyo ndio STAHIKI YAKE.
 
Kila mtu ashinde match zake..ila kama ana liwa kwel uwa uhisi kama pussy ulivyo iacha ni tofauti na unavyo ikuta tena ? Binafsi najua kabsa nme iache ivi na nikija naikuta vile vile
Mh kwamba umeiacha hivi!!!!![emoji23]
Eh bwana [emoji23]dunia ina mambo mengi !
 
Hapo acha kinyaa kula mzigo kiroho safi ila kama ulikuwa na mipango naye futa mipango hiyo ila huduma ya mzigo iendelee kwa amani mpaka pale utapata mwingine
 
Kila mtu ashinde match zake..ila kama ana liwa kwel uwa uhisi kama pussy ulivyo iacha ni tofauti na unavyo ikuta tena ? Binafsi najua kabsa nme iache ivi na nikija naikuta vile vile
Hujakutana na wanawake mkuu hata atoke sasahvi huwezi jua chochote. Dunia Ina fujo nyingi hiii
 
Inawezekana huumpi mchuzi wa kutosha ndo maana analuka Luka anyway play ur part man wanawake sikuizi ni pasua kichwa yaani ni kula mzigo unapita iviii
 
Usiwaze kumuacha kwanza mkuu jaribu kumueleza ukweli kwamba unajua kila kitu anachokifanya nyuma ya pazia na usikie anasema nini. Kama Ni mwanamke royal kweli utaona reaction yake na majibu yake kwenye Hilo.

Baada ya hapo endelea kumchunguza taratibu utajua tu hapo ndo utaganya maamuzi ya kumpiga chini.

Ila kupekua sim ya mpenzi mchumba au mke Ni kujipa stress tu
 
Kama huwezi kumuacha basi acha kumfatilia utaumia zaid
 
Kila mtu ashinde match zake..ila kama ana liwa kwel uwa uhisi kama pussy ulivyo iacha ni tofauti na unavyo ikuta tena ? Binafsi najua kabsa nme iache ivi na nikija naikuta vile vile
😁😁😁😁😁
 
MI NAONA TU HAPO UMEJIPA PROMO YA KUMKAZA DEMU BAO 4 NA UKIMUOMBA HAKUBANII

KUHUSU KUKAGUANA SIMU ACHA HIZO MAMBO, HALAFU KAMA HUNA MPANGO WA KUMUOA ACHANA NAE TU USICHEZEE HISIA ZAKE
 
Kwahiyo shida zako ndio zinakufanya ushindwe kufanya maamuzi!?
Pambana uzimalize kisha Simama kwenye nafasi ya mwanaume acha Mambo yako haya buana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…