Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Application nishafuta

Labda hiyo ku block unknown contact ndo sjui Iko wapi walau niwa block kwa muda huku nkiwataftia pesa Yao taratibu
Kwenye phone kuna ule upande wa block contacts.Unaenda kesha inabofya block&filter kesha kwa chini utaona wamekuandikia "block unknown contacts".
Unablock.
Ngojea nikuletee illustrated images.
 
Sawa mkuu
 
WENZIO WAKIIONA SIKU ZINAKARIBIA WANAKOPA KWINGINE WANALIPA WANACHEKECHANA NA MPYA NA YEYE AKIKARIBIA MDAWAKE KULIPWA HUNA VUTA KWINGINE

ANGALIZO
KUNA KAMPUN ZINASHARE YAAN YALE MAJINA TU ILA N KAMPUN MOJA SO

USIKPPE PESA X UKASEMA UPIGE CASH X WANA SWALI UNADENI POPOTE UKIJIBU NO WANAKUPIGIA WANAKUTAJIA NA KAMPUN UNAZODAIWA
 
Mwenye kosa ni wewe, kwa nini usilipe kwa wakati? Kwa sababu mikopo yao ni ya dharura na si ya kujengea nyumba, unakopa leo kesho unarudisha.

Kwa ujumla, sisi wakopaji sio wastaarabu. Umetatuliwa shida, kurudisha deni la watu unakuwa unajizungusha.
 
Mkuu sio kama sitaki kulipa pesa Yao kwa wakati ni changamoto mkuu
Mbona nyuma nilikuwa nakopeshwa na kurudisha kwa wakati ni vile tu mambo yangu hayako.vizuri mkuu
 
Kwenye phone kuna ule upande wa block contacts.Unaenda kesha inabofya block&filter kesha kwa chini utaona wamekuandikia "block unknown contacts".
Unablock.
Ngojea nikuletee illustrated images.
Kama hivi mku
Screenshot_20240905-103235.jpg
 
Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe.

Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto nakipata! Aloo najuta, sio kwa meseji hizo ninazotumiwa!

Kwani nisipolipa watanifanya nini tofauti na kuwapigia wadhamini wangu?

Pia soma: Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni
Wakati tunatoa taadhari humu kabla hujachukuwa ulitudharau, leo yamekukuta umerudi tena humu humu. Kenge asikii mpaka damu itoke puani.
 
WENZIO WAKIIONA SIKU ZINAKARIBIA WANAKOPA KWINGINE WANALIPA WANACHEKECHANA NA MPYA NA YEYE AKIKARIBIA MDAWAKE KULIPWA HUNA VUTA KWINGINE

ANGALIZO
KUNA KAMPUN ZINASHARE YAAN YALE MAJINA TU ILA N KAMPUN MOJA SO

USIKPPE PESA X UKASEMA UPIGE CASH X WANA SWALI UNADENI POPOTE UKIJIBU NO WANAKUPIGIA WANAKUTAJIA NA KAMPUN UNAZODAIWA
Kweli wewe mkopaji
 
Mkuu sio kama sitaki kulipa pesa Yao kwa wakati ni changamoto mkuu
Mbona nyuma nilikuwa nakopeshwa na kurudisha kwa wakati ni vile tu mambo yangu hayako.vizuri mkuu
Mkuu Kuna mambo watu hawayaelewi wanahisi mtu anaamua tu kutokulipa. Nakushsuri ukipata uwalipe. Ili wasiacces contacts zako unatakiwa uende kwenye settings ukaswitch off permission ya kuaccess contact na app zingine km sms n.k. Kwa sababu ulipokua unadownload app yao uliwallow kuaccess contact kwa kuclick yes yes. Ukishaset no permission Basi hapo watakua na contacts mbili tu ulizozijaza km wadhamini. Naurudia tena kiubinadam ukipata walipe
 
Back
Top Bottom