Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewahi kufanya nini kwa mteja ambae hajalipa??Chexea kote sio oya balaaaa
Kwenye phone kuna ule upande wa block contacts.Unaenda kesha inabofya block&filter kesha kwa chini utaona wamekuandikia "block unknown contacts".Application nishafuta
Labda hiyo ku block unknown contact ndo sjui Iko wapi walau niwa block kwa muda huku nkiwataftia pesa Yao taratibu
Sawa mkuuKwenye phone kuna ule upande wa block contacts.Unaenda kesha inabofya block&filter kesha kwa chini utaona wamekuandikia "block unknown contacts".
Unablock.
Ngojea nikuletee illustrated images.
Walivokuundua group la what's app na we walikuunga?Kuna maswali wanaulizq allow...ukitiki yew zinaingia kwa phone yao dir
unarejesha kiasi gani kila wikiNilichukua elfu 78 natakiwa kulipa laki Moja na elfu Tano na vicent kadhaa kwa awamu mbili tarehe ya rejesho la kwanza lilikuwa Jana mkuu
Mkuu sio kama sitaki kulipa pesa Yao kwa wakati ni changamoto mkuuMwenye kosa ni wewe, kwa nini usilipe kwa wakati? Kwa sababu mikopo yao ni ya dharura na si ya kujengea nyumba, unakopa leo kesho unarudisha.
Kwa ujumla, sisi wakopaji sio wastaarabu. Umetatuliwa shida, kurudisha deni la watu unakuwa unajizungusha.
Kama hivi mkuKwenye phone kuna ule upande wa block contacts.Unaenda kesha inabofya block&filter kesha kwa chini utaona wamekuandikia "block unknown contacts".
Unablock.
Ngojea nikuletee illustrated images.
53,260unarejesha kiasi gani kila wiki
Wakati tunatoa taadhari humu kabla hujachukuwa ulitudharau, leo yamekukuta umerudi tena humu humu. Kenge asikii mpaka damu itoke puani.Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe.
Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto nakipata! Aloo najuta, sio kwa meseji hizo ninazotumiwa!
Kwani nisipolipa watanifanya nini tofauti na kuwapigia wadhamini wangu?
Pia soma: Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni
Ulitakiwa uwajulishe mapema kabla ya siku ya rejesho ili kuonyesha uaminifu.Mkuu sio kama sitaki kulipa pesa Yao kwa wakati ni changamoto mkuu
Mbona nyuma nilikuwa nakopeshwa na kurudisha kwa wakati ni vile tu mambo yangu hayako.vizuri mkuu
Hapo ndo nilopokosea mkuuUlitakiwa uwajulishe mapema kabla ya siku ya rejesho ili kuonyesha uaminifu.
Hiyo tahadhari skuiona mkuu hata hivyo ni shida tu hakuna anopenda kukopaWakati tunatoa taadhari humu kabla hujachukuwa ulitudharau, leo yamekukuta umerudi tena humu humu. Kenge asikii mpaka damu itoke puani.
Kweli wewe mkopajiWENZIO WAKIIONA SIKU ZINAKARIBIA WANAKOPA KWINGINE WANALIPA WANACHEKECHANA NA MPYA NA YEYE AKIKARIBIA MDAWAKE KULIPWA HUNA VUTA KWINGINE
ANGALIZO
KUNA KAMPUN ZINASHARE YAAN YALE MAJINA TU ILA N KAMPUN MOJA SO
USIKPPE PESA X UKASEMA UPIGE CASH X WANA SWALI UNADENI POPOTE UKIJIBU NO WANAKUPIGIA WANAKUTAJIA NA KAMPUN UNAZODAIWA
Mkuu Kuna mambo watu hawayaelewi wanahisi mtu anaamua tu kutokulipa. Nakushsuri ukipata uwalipe. Ili wasiacces contacts zako unatakiwa uende kwenye settings ukaswitch off permission ya kuaccess contact na app zingine km sms n.k. Kwa sababu ulipokua unadownload app yao uliwallow kuaccess contact kwa kuclick yes yes. Ukishaset no permission Basi hapo watakua na contacts mbili tu ulizozijaza km wadhamini. Naurudia tena kiubinadam ukipata walipeMkuu sio kama sitaki kulipa pesa Yao kwa wakati ni changamoto mkuu
Mbona nyuma nilikuwa nakopeshwa na kurudisha kwa wakati ni vile tu mambo yangu hayako.vizuri mkuu
Hatoweza wanaokopesha wanajua hayo yote mwisho wa siku atakwama tu kwa sababu anarejesha na riba. Itafika mahali marejesho yote kwa pamoja yameiva.Kweli wewe mkopaji