Mbona umeuliza kuwa nisipolipa watafanya nini ?
Sijauliza kwa Nia mbaya mkuu mm ningekuwa na ela ningewalipa mkuu mpaka wanadfikia hatunyakunikopesha laki Moja inaonyesha nilikuwa na bega kwa bega siku zote ila Sasa Sina kitu mkuuMbona umeuliza kuwa nisipolipa watafanya nini ?
Najua dawa ya deni ni kulipa Sasa ntalipa nini na Sina Hela mkuu?Dawa ya deni ni kulipa mkuu, kuna shida gani ukiwalipa fedhq yao kama mlivyo kubaliana awali?.
Hujakosea mkuuUmaskini ndio chanzo
tapeli mwandamizi amekutana na matapeliSina pesa
Huwezi kulipa? ulichukua mkopo ili ulipe na nini😂Najua dawa ya deni ni kulipa Sasa ntalipa nini na Sina Hela mkuu?
Sina Nia hiyo ya kutowalipa mkuu tatizo sina pesaUsiwalipe watachoka
yuko wp kwani?Lipa pesa ya watu...
Shida mkuHuwezi kulipa? ulichukua mkopo ili ulipe na nini😂
Dooh ndo tunako elekeaHABARI ZA WAKATI HUU NDUGU WA KARIBU WA_____. ANAFANYA TUJIULIZE, JE TULIFANYA MAKOSA KUMUAMINI NA KUMPATIA MKOPO WA KAMPUNI YA BORAPESA.? KWANINI ANAFANYA VITU AMBAVYO VINAONESHA DALILI ZA KUTOKUWA MSTAARABU? MWAMBIE ALIPE DENI LAKE MUDA HUU.
DENI: 41.000
NAMBA:
MANAGER
BORAPESA
Mimi sio tapeli mkuutapeli mwandamizi amekutana na matapeli
walipe sasa kama si tapeli. Umesema hapo juu kwamba hata wakikuanika hujali chochote maana yake hujali lolote juu ya utu wako inaonekana ni mtu fulani mharibifu sana na roho yako ilishakuwa sugu yani huna chembe yoyote ya hofu.Mimi sio tapeli mkuu
Alikopa kwenye kampuni gani?Alokopa hadi nikaungwa kwenye group lake akiitwa tapeli huwezi amini anakunja 2.5M kwa mwezi kama mshahara tena take home hiyo na bando kuna vimaokoto vya hapa na pale ila jamaa ana utumiaji mbovu wa hela akajikuta kanasa kwenye vi mkopo vyakijinya kama hivi..
Ilikuwa aibu hadi walokuja kulipa ni Mkuu wa tasisi yao maana nae aliungwa pia kwa hilo group ili kuficha aibu..
Dooh hio mbaya m ningekuwa nayo ningewalipaKuna mshakaji wng alikopa halafu akakataa kulipa walitumiwa sms mpka wakwe zake ilikua aibu sio poa 🤣
alikua anapigiwa cm za jamaa zake kila dakik mbona tunambiwa umekopa hela hutak kulipa akawa anawambia acheneni nao hao ni matapeli tu.
Hakulipa ata tsh 10 mwish wakachana nae
Mkuu Sina ela ningeuwa nayo ningewalipa Toka jana kama nilivokuwa nafanya siku zotewalipe sasa kama si tapeli. Umesema hapo juu kwamba hata wakikuanika hujali chochote maana yake hujali lolote juu ya utu wako inaonekana ni mtu fulani mharibifu sana na roho yako ilishakuwa sugu yani huna chembe yoyote ya hofu.
Mkuu nionyeshe niliposema haya maneno" hata wakinianika sitojali lolote"walipe sasa kama si tapeli. Umesema hapo juu kwamba hata wakikuanika hujali chochote maana yake hujali lolote juu ya utu wako inaonekana ni mtu fulani mharibifu sana na roho yako ilishakuwa sugu yani huna chembe yoyote ya hofu.