Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Ila Wewe shujaa kabisa wa vita, umetomber mke wa rafiki yako?
Kuna watu mna roho mbaya shetani akasome.
 
Zamani sana ndio tena saaaana ndio watu walikuwa wanashangaa wako kitandani siku hizi ni mnaenda mkiwa na akili zenu mnafanya
 
Pardon please 🙏 Una umri gani? Kwa Nia njema kabisa Tuanzie hapa
 
blog yako bado ipo?
 
Mkuu naona unatafuta rafiki wa kike ukamle ila unatanguliza uongo. Kila la kheri
 
Jamii forum ya sasa Ina Ujinga mwingi sana aise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…