sawa kabisa lkn Kiwanja au nyumba havitumii gesi vitapanda tu beiMagari yatatumia gesi itakuwa rahisi tu
Mwee! Mwenzetu anajua kizitafuta hasa[emoji848]Mane biashara gani hiyo unaingiza laki 2 kwa siku? Nimetamani kuijua mjini pagumu
Huwezi hata kupata mpangaji labda mpangaji wa elf 20 Lakini wa Malaki hawapoYaan ukijenga huko ukiwa kijana ni lazima utarudi tu mjini!
Huyo sista angu, nilijisemea moyoni tu hivi huyu du, atapaweza kweli[emoji16]
Maana mwanzo anahamia mbwembwe kibao, miezi 6 kageuza, yuko K' nyama, nyumba kaachia mlinzi[emoji87]
Hata mpangaji kakosa, kaweka familia ya masai wanaishi bure!Huwezi hata kupata mpangaji labda mpangaji wa elf 20 Lakini wa Malaki hawapo
Unaamua kulala dukan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] life hili banaHuu uzi nimeingia kiutani utani ila nimepata kitu kikubwa sanaa
Nilikua naelekea kula za uso soon...
Ngoja nirudishe majeshi nyumaa
pesa zenyewe kuzipata shida halaf nicheze mchezo wa kubeti nibetuliwe....
Sema m naona kila upande una point...
Cha msing hapa ni kulala kwenye ka duka kangu...
asanteni wachangiajii.....
Hana sababu za kujuta, pamoja na kuwa nyumba ni asset ambayo return yake ni lifetime, mji huu unakuwa kwa kasi sana. Huko mnakodhani ni mbali leo, ndani ya 15yrs mtashangaa na huyo sister hatajuta.Hata mpangaji kakosa, kaweka familia ya masai wanaishi bure!
Sio Siri anajuuta!
π π ..mie nimechakaa balaa...kwakweli bora ukae kimya! Tuna kauvivu kakutoka nje uone unataka tafuniwa tu..hela haiwez mfata mtu wa aina hii kamwe..!never!
Mimi nafeli wapi kupata hiyo 200k daily π’π’π’Kweli kila mtu anawaza ajuavyo yeye...yaan nipewe laki 2 kwa mwezi??hapana...!ila kuna biashara kichaa sana...labda ujenge nyumba ukopee mkopo mzuri benk...mwee huyo laki 2 mm naipata kwa siku 1!nah!
Akistaafu ataenda kuishiHata mpangaji kakosa, kaweka familia ya masai wanaishi bure!
Sio Siri anajuuta!
Mimi nafeli wapi kupata hiyo 200k daily π’π’π’
Yaani ukisoma hizi nyuzi za taabu wanazopata hawa watu wanaoishi dar hadi utawaonea huruma! Mtu unaishije KILOMETA 50 kutoka unapofanyia kazi? Halafu kazi yenyewe ya mshahara duuuh hapana aisee bora ata iwe ni biashara yako. Hapo ukifika ofisini kwanza umechokaaaa balaa! Ukichelewa ukutane na bosi tena akuwakie daah aisee maisha ya dar sio kabisa..! Sema sasa uwakute watu wa dar walivyo na mashauzi wakija mikoani kumbe mtu huko dar anaishi porini ππ
Mwee! Mwenzetu anajua kizitafuta hasa[emoji848]
Kama hivi mkuu me nirudi kupanga tena sinza si Dish litakuwa limeyumba!Pamoja na kuishi nje ya mji, umbali kutoka kazini na home, siwezi hata siku moja kufananisha na upangaji, headache za kupanga sio kabisa.
Huku mtu kama unapenda vikazi vidogo hutanunua mbogamboga, utakamata kuku na kumkata shingo mwenyewe, utakula mapapai yako mwenyewe na ile hewa fresh utaipata kila siku.
Haya ndio ninayosema mkuu!!Kama hivi mkuu me nirudi kupanga tena sinza si Dish litakuwa limeyumba!
View attachment 1259772
View attachment 1259775
Angalizo kama wewe sio mpokea rushwa ni mfanyakazi,mfanyabiashara, kama bado unahitaji kunywa pombe kila siku utajuta!!!