Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mkuu hapo ulifeli mimi katika vigezo vyangu vyote napima Km toka kazini na ninapokaa nashukuru Mungu nimepata kiwanja sehemu toka kazini hadi nitakapo hamia ni 23-25km kwaio hapo najua wese la 55,000 kwa wiki linanisogeza vizuri kabisa, kuna kiwanja mimi kipo mapinga ni 3km toka barabarani wala hata sijashughulila nako nje ya mji wanakaaga wastaafu mkuu


Mhhh km 25 mafuta ya 55000?inategemea na gari basi!naona machache kidg
 
Hio 25km ni to and from kazini mafuta ya 55,000 ni 25 litres kwa gari inayotumia 1L = 10km = 250kms = kwaio kuna siku 10 za kutumia mafuta x 3 = 160,000 tshs hili ndo future ride nalotaka kuvuta BMW 320i ya 2010 ulaji wake upo hivyo


Future ride🤔!ok sawa
 
Mkuu usichulie poa, huko mikoani na vijijini ndio hela ilipo.. Dar watu wamekaba kila fursa, unahitaji mtaji wa kutosha kuingia kwenye mbilingembilinge za Dar..

Kahama,Geita, Katoro,Nzega hiyo miji mzunguko wa hela ni mkubwa na kama unacheza karata zako vizuri uwezo wa kuingiza 200K kwa siku upo... Hiyo 200K mbona hata Dar au Mwanza ukicheza draft yako vizuri unaipata??
ni biashara gan zenye mzunguko mzuri kwa hii mikoa tajwa?
 
Watu watu wanasema daslam hakuna pori hata huko nje ya mji patakuwa mjini muda si mrefu.
 
MPE MWONGOZO MKUU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bila shaka kabisa huyu smart911 ni roboti la Jf wala sio human being yan lazma akoment kila uzi kwenye majukwaa yooote ya JF tangu jukwaa la uchumi,siasa,intelligent,gadgets mpaka mmu. yy hana maneno mengi yan utaskia "ngoja waje"
"pole sana"
"inasikitisha sana"
 
Labda sikueleweka..ishu hapa sio jirani akiniona nimeshika chuma la eicher atasemaje .ishu ni yale mazoea mzee baba!hapa hakuna cha elimu ya kujitmbua wala nn...!kuna kaulemavu kapo sana ukizoea kutembelea gari!wenyewe wanakajua!
Uko sahihi pia hata uliyemjibu yuko sahihi. Wote mko sahihi
 
Back
Top Bottom