fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Pengine anahisi ndio ujana una mnyemeleaHaya ndio ninayosema mkuu!!
Mkuu me nilikuelewa Sana sijuwi ni lini Sina kumbukumbu ya lini nilinunuwa mayai au kuku!
Kama mtu sio mvivu raha Sana kuishi nje ya mji!
Ukitoka zako town ukiona mboga mboga au ndege wako ubongo una relax kabisa! Ila ni wachache wana weza!