Najuta kuhamia kwangu Kerege

WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO.
 
Mpaka huo muda ufike huyo jamaa ako ameshastaafu amechakaa na hela zote amemalizia kujaza mafuta gari.

Hizi ni akili za kimasikini BTW.
 
Mpaka huo muda ufike huyo jamaa ako ameshastaafu amechakaa na hela zote amemalizia kujaza mafuta gari.

Hizi ni akili za kimasikini BTW.
Watafute wenye nyumba Sinza sasa hv utawaonea huruma wamezeeka na kuchakaa, watoto wamekua mateja na mapunga, nyumba imejaa wapangaji kodi inagombaniwa na ukoo mzima
 
Huko Bagamoyo vigagula mwanzo-mwisho
 
wenger, tanga sehemu gani? sehemu mzuri.. Kange Kasera kubaya, udongo ufinyanzi kwa mvua za sasa shida balaa! asra, uzunguni bei zao kubwa sana... over 20M
 
Watafute wenye nyumba Sinza sasa hv utawaonea huruma wamezeeka na kuchakaa, watoto wamekua mateja na mapunga, nyumba imejaa wapangaji kodi inagombaniwa na ukoo mzima
Ndio maana nasema, kumiliki kiwanja ni biashara ya kimasikini. Kama una idea ya biashara bora uizungushe hiyo hela ule matunda yake ukiwa kijana.

Ukikimbilia kumiliki kiwanja utakufa masikini na ndugu yako waje kuuana kisa mirathi.

Wanasema kiwanja kinapanda bei ila wanasahau kuwa inflation nayo inagonga vilevile.

Utakuta mtu anakwambia alinunua kiwanja 1M miaka 10 badae anauza kwa 10M. Hapo anasahau kuweka time value of money.
 
Watafute wenye nyumba Sinza sasa hv utawaonea huruma wamezeeka na kuchakaa, watoto wamekua mateja na mapunga, nyumba imejaa wapangaji kodi inagombaniwa na ukoo mzima
bora Mkuu umefunguka sio km huyo Bavaria anaona deal kukaa mjini kutwa gahawa na bao
miaka ya 1979 niliishi na kaka yangu Mwl wa Sekondary Magomeni Idrisa NHC, mwenye nyumba alikuwa mkali, Kaka akakimbilia Sinza, (sasa kajenga tena Kimara) kwa ajili ya kodi za wenye nyumba Migo kugombaniana na nduguze ili wakashiinde Shibam, leo wamechakaa ile nyumba ni Bar wenyewe wamesambaratikia Argentina wanapanga.
Jenga nyumba ya aina yoyote ni rasilimali, usafiri miaka hii upo
 
Mkuu nimelike wazo lako. Ni Kama mtu asiyekunywa pombe harafu anampigia hesabu za siku,wiki, mwezi na mwaka mtu anayekunywa pombe.

Swali wewe usiyekunywa pombe, unasave hela nyingi, je kwasasa unamiliki Nini na Nini? ha ha ha ha
 
Unamshauri nini Kishimba mwenye nyumba kila mkoa?

Je hali ujana
 
Nilishasema, sifanyi kazi ya Kuzika pesa! Umepata vi milioni vyako 50 unakimbilia kuvijengea vyote halafu unarudi kuanza kusota upya!! Upuuzi wa namna gani huo!?
Njoo na maneno yako kama haya ukiwa na 60 years old
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…