Najuta kuhamia kwangu Kerege

Ni kweli kabisa.

Ila usilalamike maisha magumu ikiwa umelaza 15M chini inform of kiwanja.

Huwezi kuwa na assets za milions of shillings ili hali 400K ya mafuta kwa mwezi inakuumiza kichwa.

Lengo la asset ni kutengeneza pesa.
 
Njoo na haya mawazo yako mfu ukiwa na 58 years old
 
Njoo na haya mawazo yako mfu ukiwa na 58 years old
58 yrs old ameshastaafu. Akakae Kerege acheze na wajukuu achukue pensheni yake maisha yaende.

Kijana lazima upambane utengeneze assets ukizeeka unakula hela.
 
Unawaambia watu ambao mmoja kasema anapata 200k Kwa siku wamemshambulia hadi kabadili gear angani? Hawawezi kukuelewa
Duh nimecheka utadhani mazuriwatu hela wanaisikia hata wale Dada zangu wa Sinza kwa Mori hawapati 50,000/ sembuse yeye anaingiza 200k kila siku hapa Tanzania, Huko Mererani tu wasingeingiza kwani mawe si kila siku hata Hotel ni kukopwa
 
Huenda hujaelewa..nimesema nje nikimanisa mitaani hela ipo!lakini kila mtu ana jicho lake la fursa!mie nachojua hela ipo ukiitukiitafta kwa hali na mali..sio easy task hata kidg!
 
Huenda hujaelewa..nimesema nje nikimanisa mitaani hela ipo!lakini kila mtu ana jicho lake la fursa!mie nachojua hela ipo ukiitukiitafta kwa hali na mali..sio easy task hata kidg!
tupo sawa sasa
maana kuna mahali nimeona unaingiza 200k nikijua upo Ofisini au Tanzania hii
haya Mleta Mada joshua_ok
ana nyumba hii hapa tutafutie wapangaji au mifugo, sijui ana eneo la shamba au kapakana na wenzake huko KEREGE
 
Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi - Jikite huko huko Kerege, Piga kazi ya kufa mtu - Fuga mbuzi, Kuku wa kienyeji, Lima Migomba, Mihogo, Mahindi na Mpunga...na mbogamboga - baada ya miaka 5 utakuwa mbali saana.

Hilo gari lako liuze ili upate kianzio cha kupiga kazi yako hii mpya ya KILIMO na UFUGAJI.
 
Moja ya maeneo ya Bagamoyo...

Kuna maeneo mengi kama hiyo Kerege, Msinune, Masuguru, Matimbwa n.k
Nimeuliza nimeambiwa Kerege ni Bagamoyo. Sasa mtu amejenga mkoa wa Pwani kazi anafanya Posta Dar es salaam alitegemea nini?
 
Kilimo cha Fb, Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…