Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mpaka utakapogundua kwamba binadamu tunatofautiana, ndio utajua ni kwanini kuna mtu anafanya kazi ya kuajiriwa na wewe unafanya biashara. Mtu anafanya kitu kutokana na uwezo wake wa akili unavyomuongoza, na fursa alizokutana nazo. Ndio maana kuna wafanyabiashara, kuna mafundi, kuna wakulima, kuna wasomi, kuna wasio na kazi nk. Ni ajabu kwa mtu anaefanya shughuli fulani kumshangaa anaefanya shudhuli nyingine wakati hujui huyo mtu akili yake, mazingira, na maisha yake kiujumla yamem shape vipi.
Ni kweli kabisa.

Ila usilalamike maisha magumu ikiwa umelaza 15M chini inform of kiwanja.

Huwezi kuwa na assets za milions of shillings ili hali 400K ya mafuta kwa mwezi inakuumiza kichwa.

Lengo la asset ni kutengeneza pesa.
 
Njoo na haya mawazo yako mfu ukiwa na 58 years old
 
Njoo na haya mawazo yako mfu ukiwa na 58 years old
58 yrs old ameshastaafu. Akakae Kerege acheze na wajukuu achukue pensheni yake maisha yaende.

Kijana lazima upambane utengeneze assets ukizeeka unakula hela.
 
Unawaambia watu ambao mmoja kasema anapata 200k Kwa siku wamemshambulia hadi kabadili gear angani? Hawawezi kukuelewa
Duh nimecheka utadhani mazuriwatu hela wanaisikia hata wale Dada zangu wa Sinza kwa Mori hawapati 50,000/ sembuse yeye anaingiza 200k kila siku hapa Tanzania, Huko Mererani tu wasingeingiza kwani mawe si kila siku hata Hotel ni kukopwa
 
Hadithi za Shigongo hizo
toka Mkwere atoke namba bado tupo D sijaiona hiyo E
ww ulisema umelipa 75M nikakuambia ni uongo km kweli ungeniambia na Kodi yake ngapi au uliitoa Benki gani bila Querry

Nje ipi hiyo wakati Ngada imefungiwa ni biashara ipi huyo Dogo kaingiza kwa mwezi 75M
unajua kuna kipindi kati ya utoto-ujana kabla ya uzee mtu anakuwa na ndoto za kufikirika hasa katika maisha ya biashara, hata mwendo atabadili licha ya maisha
ktk somo la Biashara kuna terms inaitwa petty bourgeoisie naona ni kifaransa lkn tafuta maana yake ipo hata Google

Huenda hujaelewa..nimesema nje nikimanisa mitaani hela ipo!lakini kila mtu ana jicho lake la fursa!mie nachojua hela ipo ukiitukiitafta kwa hali na mali..sio easy task hata kidg!
 
Huenda hujaelewa..nimesema nje nikimanisa mitaani hela ipo!lakini kila mtu ana jicho lake la fursa!mie nachojua hela ipo ukiitukiitafta kwa hali na mali..sio easy task hata kidg!
tupo sawa sasa
maana kuna mahali nimeona unaingiza 200k nikijua upo Ofisini au Tanzania hii
haya Mleta Mada joshua_ok
ana nyumba hii hapa tutafutie wapangaji au mifugo, sijui ana eneo la shamba au kapakana na wenzake huko KEREGE
1573562368151.png
 
Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi - Jikite huko huko Kerege, Piga kazi ya kufa mtu - Fuga mbuzi, Kuku wa kienyeji, Lima Migomba, Mihogo, Mahindi na Mpunga...na mbogamboga - baada ya miaka 5 utakuwa mbali saana.

Hilo gari lako liuze ili upate kianzio cha kupiga kazi yako hii mpya ya KILIMO na UFUGAJI.
 
Moja ya maeneo ya Bagamoyo...

Kuna maeneo mengi kama hiyo Kerege, Msinune, Masuguru, Matimbwa n.k
Nimeuliza nimeambiwa Kerege ni Bagamoyo. Sasa mtu amejenga mkoa wa Pwani kazi anafanya Posta Dar es salaam alitegemea nini?
 
Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi - Jikite huko huko Kerege, Piga kazi ya kufa mtu - Fuga mbuzi, Kuku wa kienyeji, Lima Migomba, Mihogo, Mahindi na Mpunga...na mbogamboga - baada ya miaka 5 utakuwa mbali saana.

Hilo gari lako liuze ili upate kianzio cha kupiga kazi yako hii mpya ya KILIMO na UFUGAJI.
Kilimo cha Fb, Instagram
 
Back
Top Bottom