Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Ni kweli kabisa.Mpaka utakapogundua kwamba binadamu tunatofautiana, ndio utajua ni kwanini kuna mtu anafanya kazi ya kuajiriwa na wewe unafanya biashara. Mtu anafanya kitu kutokana na uwezo wake wa akili unavyomuongoza, na fursa alizokutana nazo. Ndio maana kuna wafanyabiashara, kuna mafundi, kuna wakulima, kuna wasomi, kuna wasio na kazi nk. Ni ajabu kwa mtu anaefanya shughuli fulani kumshangaa anaefanya shudhuli nyingine wakati hujui huyo mtu akili yake, mazingira, na maisha yake kiujumla yamem shape vipi.
Ila usilalamike maisha magumu ikiwa umelaza 15M chini inform of kiwanja.
Huwezi kuwa na assets za milions of shillings ili hali 400K ya mafuta kwa mwezi inakuumiza kichwa.
Lengo la asset ni kutengeneza pesa.