Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mkuu mbona kama umepanik wakati laki 2 kwa siku ukiizidisha kwa mwezi ni milioni 6 tu ambao huu ni mshahara wa kawaida kabisa kwa watu wa mataasisi makubwa..? Tatizo ukisema laki 2 kwa siku inaonekana kama ni hela nyingi kumbe ni hela ya kawaida tu.
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anapiga mzigo downtown Posta na anaishi huko Bagamoyo...

Jamaa alikuwa na bodaboda yake ndio usafiri mkuu, anawahi town utafikiri anaishi Migo migo
Nimeuliza nimeambiwa Kerege ni Bagamoyo. Sasa mtu amejenga mkoa wa Pwani kazi anafanya Posta Dar es salaam alitegemea nini?
 
Mkuu mbona kama umepanik wakati laki 2 kwa siku ukiizidisha kwa mwezi ni milioni 6 tu ambao huu ni mshahara wa kawaida kabisa kwa watu wa mataasisi makubwa..? Tatizo ukisema laki 2 kwa siku inaonekana kama ni hela nyingi kumbe ni hela ya kawaida tu.
Sometimes huwa nashangaa sana JF. Biashara ya 200k kwa siku imekuwa kitu cha ajabu?
 
Sikuhizi madalali wa vyumba uchwara mnajiita wenye fani ya real estate?

Ukishatoka out kwenda disco unajiona umemaliza maisha, vipi wasafi vestival ulienda?[emoji3]
 
Hakika
 
Chai.
 
"Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi"

Hahahahaa... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] JF raha sana
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Acha mkuu Jf humu kila mtu ni Don.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Comment nyingine zinafurahisha sana
 
asilimia 75 ya wafanyakazi wote serikalini na taasisi binafsi mshahara wao ni chini ya milioni kwa mwezi, halafu watu wanaleta habari za laki 2 kwa siku, mara kiwanja milioni 50, ukisikiliza habar za JF utaishia kupata msongo wa mawazo
 
asilimia 75 ya wafanyakazi wote serikalini na taasisi binafsi mshahara wao ni chini ya milioni kwa mwezi, halafu watu wanaleta habari za laki 2 kwa siku, mara kiwanja milioni 50, ukisikiliza habar za JF utaishia kupata msongo wa mawazo
"Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi"
 
Naona huu uzi mmejaa mabosi tu wa Jf
Mara wengine mnaingiza laki 2 kwa siku.
Wengine mmenunua kiwanja kibaha mil85.
Wengine mil15 ni hela ya mboga tu.

Maskini mimi tu aisee😢
 
Kwahiyo mke wako ni mwalimu?
 
Pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…