atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Nilidhani mimi sijui hela2 kwa siku? Uko vizuri mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani mimi sijui hela2 kwa siku? Uko vizuri mwaya
tupo sawa sasa
maana kuna mahali nimeona unaingiza 200k nikijua upo Ofisini au Tanzania hii
haya Mleta Mada joshua_ok
ana nyumba hii hapa tutafutie wapangaji au mifugo, sijui ana eneo la shamba au kapakana na wenzake huko KEREGE
View attachment 1261398
Nimeuliza nimeambiwa Kerege ni Bagamoyo. Sasa mtu amejenga mkoa wa Pwani kazi anafanya Posta Dar es salaam alitegemea nini?
Sometimes huwa nashangaa sana JF. Biashara ya 200k kwa siku imekuwa kitu cha ajabu?Mkuu mbona kama umepanik wakati laki 2 kwa siku ukiizidisha kwa mwezi ni milioni 6 tu ambao huu ni mshahara wa kawaida kabisa kwa watu wa mataasisi makubwa..? Tatizo ukisema laki 2 kwa siku inaonekana kama ni hela nyingi kumbe ni hela ya kawaida tu.
Sorry mkuu,hyo ndo nyumba aliyo kuwa anaizungumzia?tupo sawa sasa
maana kuna mahali nimeona unaingiza 200k nikijua upo Ofisini au Tanzania hii
haya Mleta Mada joshua_ok
ana nyumba hii hapa tutafutie wapangaji au mifugo, sijui ana eneo la shamba au kapakana na wenzake huko KEREGE
View attachment 1261398
Sikuhizi madalali wa vyumba uchwara mnajiita wenye fani ya real estate?Inawezekana wewe umekomaa vigimbi lakini siyo akili,
Nyumba ya million 50 ni Dar na kwa taarifa yako Mimi real estate ndio fani yangu.
Kutoka harusini saa 8 usiku kudrive km 50 huu nao ni zaidi ya uwendawazimu.
Kama umezaliwa kijijini Nyalugusu ni lazimà ushangae swala LA outing, kila MTU na hobby take mwingine disco mwingine live band mwingine matamasha.
Dogo chenga huyo.Kwako ndo unaona ujanja umemaliza hapo ukitoka out
HakikaYAANI UKISOMA KOMENTI ZA BAADHI YA WADAU HUMU,
HALAFU WEWE ND'O UNA KIWANJA CHAKO NJE YA MJI HUKO KAMA VILE VIKINDU, CHANIKA MAPINGA N.K
UNAWEZA UKAJIONA BONGE LA NDEZI NA UKATAMANI KUKITELEKEZA KABISA KIWANJA CHAKO-
KUMBE WENGI WAO WANAKOMENTI WAKIWA SEBLENI KWA SHEMEJI ZAO WANASUBIRIA UGALI WA SHIKAMOO NA HAWANA HATA GODORO LA FUTI 2½ KWA 6 !!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Chai.Binafsi Hizi hesabu za Kiwanja kinapanda thamani huwa sizielewi kabisa.
Nakumbuka mwaka juz Kuna Eneo Eka 1 lilikua linauzwa 25mil uko Kibaha-machinijioni.
Jamaa kashaur sana tununue ili tunapakane Jamaa anauza bei Rahisi Mno.
Nkasema, Nkinunua likakaa afu cha kuwekeza sina Itakua HASARA.
Mwenzangu kanunua, Mi nkaendelea na Na Kuimarisha biashara zangu ile 25mil nkaiingiza kwny mzunguko.
Mwezi Ulopita, Baada ya Biashara kuchanganya vizur.
Nmenunua Kiwanja kizur zaidi Ukubwa ule ule pale pale maili 1 kwa 85mil kikiwa na tofali 219 za block
Ila Sijutii, maana kimenunuliwa mda muafaka kabisa kwa ajili ya kukitumia.
Jamaa angu, Biashara zake zimeyumba.
Hana bajeti tena ya kupaendeleza.
Na manispaa wanamzingua kua kama hatopaendeleza ananyang'anywa hati ya umiliki ifikapo DEC mwaka huu.
Kiwanja chake nakiona bado kipo tu kinaendelea tu kusubiri mteja mwezi wa 3 sasa maana katangaza Anauza 75mil.
"Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi"Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi - Jikite huko huko Kerege, Piga kazi ya kufa mtu - Fuga mbuzi, Kuku wa kienyeji, Lima Migomba, Mihogo, Mahindi na Mpunga...na mbogamboga - baada ya miaka 5 utakuwa mbali saana.
Hilo gari lako liuze ili upate kianzio cha kupiga kazi yako hii mpya ya KILIMO na UFUGAJI.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Acha mkuu Jf humu kila mtu ni Don."Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi"
Hahahahaa... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] JF raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningekuwa nimeajiriwa, hata ningepata 10M, ningeacha kazi right away na kufocus kwenye biashara 24/7.
Watu wanaacha kazi kisa tu amepata 5M mtaji wa biashara sasa wewe wa 15M inakuwaje hapo?
Ishu ni suala la determination, focus na hard working. 15M ni mtaji mkubwa sana wa kutengeneza cashflow ya 10-15M na faida ya 2-3M kwa mwezi.
"Kama mshahara wa kukuleta mjini kila siku ni chini ya 2m na una umri wa zaidi ya miaka 35 basi achana na hiyo kazi"asilimia 75 ya wafanyakazi wote serikalini na taasisi binafsi mshahara wao ni chini ya milioni kwa mwezi, halafu watu wanaleta habari za laki 2 kwa siku, mara kiwanja milioni 50, ukisikiliza habar za JF utaishia kupata msongo wa mawazo
Nmecheka sana for sureAfrica sisi jinga Sana Indi yeye toka Bombay panga nation housing juu lala chini duka,parking iko vx v8 shabani nafuta ing'ae. kujenga kwa ulimwengu wa sasa si indicator ya maendeleo tena
Kwahiyo mke wako ni mwalimu?Ahahahah.Hapo kwenye kuwaona watoto ndio haswaa.Binafsi toka tumalize jumapil pamoja sijaonana nao leo inaenda siki ya pil.Angalau firs5 born yy huwa anawah kuamka kujiandaa shule atleast mnaweza gongana alfajir au usiku akichelewa homework zake.Wengine ni mpaka Mungu apende kama sio weekend.
So sad
NB:
Niliamua kujenga na kuhamia huku cz wife yy ni mtumishi wa serikal na so tulikua temeke but nikaona kwake ingekua mateso sana kwennda na kurud kazin plus kazi za nyumbani na ku take care watoto ingekua ishu.so nikaona acha mm ndio nipambane na hali ili wife awe jiran na ofis.
Pumba.Hiyo gari unaifanyia service mara ngapi kwa mwaka?
Gari ya kukusanya watu 10 kila siku kwenda na kurudi which is 120km, inahitaji maintanance ya kufa mtu.
Umeiweka kwenye gharama zako? Au hiyo revenue ndo profit?
Gari inayoenda 120 Km kila siku inahitaji siku 90 (miezi mitatu) kumwaga oil (inacost kitu kama 150K) na service zingine kama shockups n.k.
Linganisha na gari inayoenda 30 km kila siku ambayo itahitaji siku 300 kumwaga oil at the same cost. Anatumia less fuel na gari haichoki haraka.