BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Kama ni mfanyakazi unategemea kila mwisho wa mwezi huwezi kunielewa. Pole nduguNjoo na maneno yako kama haya ukiwa na 60 years old
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mfanyakazi unategemea kila mwisho wa mwezi huwezi kunielewa. Pole nduguNjoo na maneno yako kama haya ukiwa na 60 years old
Au asubiri SGR ikamilike usafir utakuwa rahisUkijenga maeneo ya ndanindani mbali na barabara kuu kwa maeneo hayo,
Yabidi shughuli zako ziwe maeneo ya jirani, kama vile Bunju au Tegeta Nyuki.
Viwanja vya wale jamaa wanaosemaga utakuwa Mji Mpya na barabara zimeshachongwa, kutembelea ni kila jumapili... AhahahDadaangu kajenga huko huko mitaa ya baobab sec school, ndani ndani ni anajutraa balaa, nae kapakimbia!
Hujaelewa kumbe... Anaweza kuwa na kiwanja huko lakini sio kukaa hukoacha usiwafuate waswahili wanaopenda Mjini.
Hapo Kerege patajakuwa Mjini kati kabisa, mwaka 1979 Sinza Makaburini ndio palikuwa mwisho wa Mji wa DSM linafuata pori hadi UDSM
Leo Kibaha ni Mjini kabisa ngoja hiyo njia 6 ya Highway km hukona mwendo kasi halishii Kimara
Ardhi ni mali huwezi linganisha Ardhi yenye ukubwa sawa kwa Miji ya Tanga, Dodoma au Mwanza
Tafuta wenyeji, Mkiti au Mjumbe wakutafutie wapangaji hiyo ni Rasilimali kubwa kuliko kupanga km Mhindi Mjini, Shika ardhi popote km Elimu kwani ni utajiri kuliko hao wezi wa leo tu
1. Kwasababu hujui thamani ya muda, ndio maana unaona sawa kukaa masaa 3 kila siku.bora Mkuu umefunguka sio km huyo Bavaria anaona deal kukaa mjini kutwa gahawa na bao
miaka ya 1979 niliishi na kaka yangu Mwl wa Sekondary Magomeni Idrisa NHC, mwenye nyumba alikuwa mkali, Kaka akakimbilia Sinza, (sasa kajenga tena Kimara) kwa ajili ya kodi za wenye nyumba Migo kugombaniana na nduguze ili wakashiinde Shibam, leo wamechakaa ile nyumba ni Bar wenyewe wamesambaratikia Argentina wanapanga.
Jenga nyumba ya aina yoyote ni rasilimali, usafiri miaka hii upo
Kuna sehemu nimesema kuhusu kula ujana?Unamshauri nini Kishimba mwenye nyumba kila mkoa?
Je hali ujana
Kwan gari imetengenezwa ipakie dereva tu, ndo kazi ya gari kubeba watu.Kupakia watu saba kila siku kwenda na kuridi ni kuchosha gari tu for nothing
N8 mbali sana kwa mtu mwenye mishe za mjiniUelekeo wa Bagamoyo ukitokea Tegeta-Boko-Bunju
Kuna itwa vikawe kule. Ni pazuri ila ndio hivyo nje ya mji na bado hakujapamba motoDadaangu kajenga huko huko mitaa ya baobab sec school, ndani ndani ni anajutraa balaa, nae kapakimbia!
Kuna wengine wanaita"KIJIJI CHA WASANII" mitaa ya Bagamoyo. Kila siku itakua kula bata huko kijijiniViwanja vya wale jamaa wanaosemaga utakuwa Mji Mpya na barabara zimeshachongwa, kutembelea ni kila jumapili... Ahahah
Me nimekuelewa usijali mkuuLabda sikueleweka..ishu hapa sio jirani akiniona nimeshika chuma la eicher atasemaje .ishu ni yale mazoea mzee baba!hapa hakuna cha elimu ya kujitmbua wala nn...!kuna kaulemavu kapo sana ukizoea kutembelea gari!wenyewe wanakajua!
Hongera kwa kujenga, nyumba ni asset kwako ni kwako tu, lakini pia hongera kuwa na gari, chukulia kuwa hayo ni matumizi kama kununua nguo na vinginevyo,asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Kabisaaaa wacha kabisaYaani ukishazoea gari jamani kurudi kwenye daladala inabid wito haswa!