Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mo kakulia nyumba za NHIF leo hii bilionea. Waswahili sisi tunakimbilia kujenga tubanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajidanganya, maisha ya kuamka saa 10 usiku ili saa moja asubuhi ndio ufike mjini kati huu ni uwendawazimu kwa Tanzania, kuna nchi nimeishi train za umeme ndio usafiri wa kwenda makazini na mtandao wa reli umepita kwenye makazi mengi, ukikaa mbali na mjini hakuna tatizo lakini si kwa Tanzania acha kudanganya wenzanko.Asiwadanganye mtu kuishi kwako raha bwana hata kama ni porini kwako hapawezi kuwa mbali bwana ni kujiongeza tu.
Kwakuongezea tu, USIUZE NYUMBA utachanganyikiwa. Kama umeishiwa uza gari. Kula msoto kidogo akili ikae sawa utapata way out tu. Ungekuwa na NOAH ungekuwa unakula vichwa asbh na jioni wakati wa kwenda na kutoka kazini mafuta yangejinunua yenyewe tu.
Cha muhimu fikirisha kichwa sijaona kama unachangamoto wewe, usilaze kichwa.
Ur very Correct my BroderUnajidanganya, maisha ya kuamka saa 10 usiku ili saa moja asubuhi ndio ufike mjini kati huu ni uwendawazimu kwa Tanzania, kuna nchi nimeishi train za umeme ndio usafiri wa kwenda makazini na mtandao wa reli umepita kwenye makazi mengi, ukikaa mbali na mjini hakuna tatizo lakini si kwa Tanzania acha kudanganya wenzanko.
Watu wenye busara akiwa na million 50 ananunuwa nyumba karibu na town unang'arisha then unaenjoy maisha.
Unakaa sehemu hata kuhudhuria harusi huwezi unawaza stress za muda wa kurudi usiku, disco huwezi kwenda haya ni maisha gani sasa?
Nikwambie kitu mkuu, usiuze nyumba uza gari nunua pikipiki boxer au mahindraWakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
Haya mawazo sio ya mtu mkomavu,Unajidanganya, maisha ya kuamka saa 10 usiku ili saa moja asubuhi ndio ufike mjini kati huu ni uwendawazimu kwa Tanzania, kuna nchi nimeishi train za umeme ndio usafiri wa kwenda makazini na mtandao wa reli umepita kwenye makazi mengi, ukikaa mbali na mjini hakuna tatizo lakini si kwa Tanzania acha kudanganya wenzanko.
Watu wenye busara akiwa na million 50 ananunuwa nyumba karibu na town unang'arisha then unaenjoy maisha.
Unakaa sehemu hata kuhudhuria harusi huwezi unawaza stress za muda wa kurudi usiku, disco huwezi kwenda haya ni maisha gani sasa?
Asiwadanganye mtu kuishi kwako raha bwana hata kama ni porini kwako hapawezi kuwa mbali bwana ni kujiongeza tu.
Kwakuongezea tu, USIUZE NYUMBA utachanganyikiwa. Kama umeishiwa uza gari. Kula msoto kidogo akili ikae sawa utapata way out tu. Ungekuwa na NOAH ungekuwa unakula vichwa asbh na jioni wakati wa kwenda na kutoka kazini mafuta yangejinunua yenyewe tu.
Cha muhimu fikirisha kichwa sijaona kama unachangamoto wewe, usilaze kichwa.
Disco kuna nini huko!?Unajidanganya, maisha ya kuamka saa 10 usiku ili saa moja asubuhi ndio ufike mjini kati huu ni uwendawazimu kwa Tanzania, kuna nchi nimeishi train za umeme ndio usafiri wa kwenda makazini na mtandao wa reli umepita kwenye makazi mengi, ukikaa mbali na mjini hakuna tatizo lakini si kwa Tanzania acha kudanganya wenzanko.
Watu wenye busara akiwa na million 50 ananunuwa nyumba karibu na town unang'arisha then unaenjoy maisha.
Unakaa sehemu hata kuhudhuria harusi huwezi unawaza stress za muda wa kurudi usiku, disco huwezi kwenda haya ni maisha gani sasa?
Aweke ukuta afuge mbwa. Kama hana hela ya ukuta apige wire mesh aoteshe fensi ya majani.Mbona hujamshauri kuhusu tatizo la vibaka ?
Hiyo nayo inaitwa nyumba?Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
Nyumba za NHIF?? Like serious?Mo kakulia nyumba za NHIF leo hii bilionea. Waswahili sisi tunakimbilia kujenga tubanda
Watoto wetu hao...Disco kuna nini huko!?
Kazi kweli kweli mkuu..Watoto wetu hao...
MKUU,Mo kakulia nyumba za NHIF leo hii bilionea. Waswahili sisi tunakimbilia kujenga tubanda
[emoji3][emoji3]Nyumba za NHIF?? Like serious?
Inawezekana wewe umekomaa vigimbi lakini siyo akili,Haya mawazo sio ya mtu mkomavu,
1. Nyumba ya m50 mjini unaongelea mji upi?
2. Harusi hata kama inafanyikia morogoro ikiisha hata saa 8 usiku kama una usafiri wako private hakuna tatizo lolote.
3. Ulivyoongelea Disco imenipelekea kutambua uchanga wako. Huenda tunabishana na watoto wetu huku.
You have to be man enough to own a house in Dar es Salaam.
Kwako ndo unaona ujanja umemaliza hapo ukitoka outInawezekana wewe umekomaa vigimbi lakini siyo akili,
Nyumba ya million 50 ni Dar na kwa taarifa yako Mimi real estate ndio fani yangu.
Kutoka harusini saa 8 usiku kudrive km 50 huu nao ni zaidi ya uwendawazimu.
Kama umezaliwa kijijini Nyalugusu ni lazimà ushangae swala LA outing, kila MTU na hobby take mwingine disco mwingine live band mwingine matamasha.
Unamshangaa mwanaume mwenzio vigimbi huo ni umama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwako ndo unaona ujanja umemaliza hapo ukitoka out
NHC sio NHIF (typing error is highly regretted)MKUU,
TUPE MWONGOZO KIDOGO KUHUSU HIYO NYUMBA YA NHIF (National Health Insurance Fund) ALIYOKULIA NDUGU_MO.