lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Kuna jamaa namjua anapata milion 3 au 4 pee r day kiutani utani tu
Wahenga wanasema tembea uone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahenga wanasema tembea uone.
VIPI AMEKUPA MBINU ZAKE ANAZOPATIA HIZO HELA (MILIONI 3 AU 4) KWA KUTWA MKUU?Kuna jamaa namjua anapata milion 3 au 4 pee r day kiutani utani tu
Assumption zako bado siyo sawa, kwani ukikaa sinza na unafanyakazi mjini hutumii mafuta tofauti yake ni ipi? Uhuru wa kuishi kwakona utumwa wa kulipa kodi ni tofauti sana, kwanza hakuna mwenye nyumba anayelipwa kwa mwezi, either mwaka, miezi sita au mitatu, huoni hiyo karaha imeondoka, mwanaume pambana jali chakoWakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1259979
Hapana.Tuanzie hapa kwanza mkuu,una watoto?
Watu bado wana akili mgando wakidhani kama dunia kwao haiendi basi haitaenda kwa wengine wote.Tatizo watu Humu asilimia kubwa wanadhan kila MTU aliemo humu Ni rika LA Stori Vijiweni
Humu kuna watu wanabiashara kubwa sana.
Binafsi kuna watu wawili humu Ni Wafanyabiashara wakubwa sana na huwez dhania.
nilifahamiana nao humu humu kibiashara na mpk sasa tunafanya biashara mara kwa Mara.
Ofisi zao by minimum mauzo kwa Siku hayapungui milioni 20 tena halo nahisi hali inapokua mbaya.
Mana kuna kipindi ukifika ofsini utakuta MTU mmoja tu, kakaa anaandikiwa Oda ya milioni 15 - 30.
Sasa MTU kama uyo ukihoji faida ya LAKI MBILI kwenye mauzo ya milioni 50 kwa siku utaonekana kichaa.
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1259979
Karibia 8kms kutoka lami - Bagamoyo Rd.
Kweli kila mtu anawaza ajuavyo yeye...yaan nipewe laki 2 kwa mwezi??hapana...!ila kuna biashara kichaa sana...labda ujenge nyumba ukopee mkopo mzuri benk...mwee huyo laki 2 mm naipata kwa siku 1!nah!
Potezea..ni chitchat tu hii..ulikua mfno tu mzee!Kwa biashara gani
acha usiwafuate waswahili wanaopenda Mjini.
Hapo Kerege patajakuwa Mjini kati kabisa, mwaka 1979 Sinza Makaburini ndio palikuwa mwisho wa Mji wa DSM linafuata pori hadi UDSM
Leo Kibaha ni Mjini kabisa ngoja hiyo njia 6 ya Highway km hukona mwendo kasi halishii Kimara
Ardhi ni mali huwezi linganisha Ardhi yenye ukubwa sawa kwa Miji ya Tanga, Dodoma au Mwanza
Tafuta wenyeji, Mkiti au Mjumbe wakutafutie wapangaji hiyo ni Rasilimali kubwa kuliko kupanga km Mhindi Mjini, Shika ardhi popote km Elimu kwani ni utajiri kuliko hao wezi wa leo tu
Nina maoni haya: Kujenga na kuishi sehemu ya mbali na mji kama hiyo yako kwangu mimi ni jambo zuri sana. Na zaidi niseme sehemu za Kerege ni nzuri sana na kuna hewa safi na mtu unakuwa mbali na rabsha za mjini. Na kingine ni kuwa una uhuru wa kufanya mambo mengi kama bustani na ufugaji. Changamoto yake kubwa ni security. Maeneo kama hayo yanakuwa hatari hasa wakati wa usiku kwa sababu hakuna watu wengi. Kuishi maeneo kama hayo inatakiwa mtu uwe na uwezo mkubwa. Vitu kama gharama za usafiri visiwe issue, na uwe na ulinzi madhubuti (japo majambazi wakidhamiria wanakuwa huru zaidi kwa sababu ya kukosekana msaada wa haraka). Miaka ya nyuma kuna jamaa mmoja alijenga karibu na shule ya Bunju B. Watu wengi walikuwa wanamcheka na kusema amehamia porini. Leo hii hakuna anayemcheka na eneo limekuwa mji. Ushauri wangu: Hayo maeneo ni mazuri na siyo muda mrefu sana kutakuwa mji wenye watu wengi. Kama huna shida sana usiuze. Tafuta mbinu nyingine tu za kujikwamua na baadae utaona faida yake.
Kwa Dar kwa mfanyakazi wa kawaida kutaka ujenge nyumba kiwanja utapata kilomita 40 au zaidi nje ya mji ujenge.
Mbaya zaidi ofisi nyingi ziko posta hivyo itakulazimu uwe unaamka sa 9 ili kufika ofisini sa 2, na kurudi nyumbani ukitoka sa 11 unafika sa 3. Hii sababu ni moja tu ya miundombinu mibovu kwa hapa Dar es salaam, barabara ya kuja na kutoka mjini ni zile zile hakuna njia mbadala na kama zipo ni za hovyo sana.
Mimi Dar siwezi kujenga, ni hasara tupu, ggharama za usafiri kutoka kwako hadi kazini ni zaidi ya 200,000 kwa mwezi, hujaja chakula, uusumbufu mwingine alafu niwe najisifu tu eti kisa nakaa kwangu.
Nenda kinyerezi, mbezi makabe, goba, mabwepande na kwenda huko Mapinga, mbweni, kitopeni, nk watu wametelekeza nyumba nzuri kule kwa sababu ya adha ya usafiri.
Bora upange jirani na mjini uishi kwa raha kuliko kua na kwako huku unaishi kwa shida kisa unaishi kwako. Kuna mshikaji wangu kajenga huko kimara porini imebidi akimbie nyumba, akapange apartment kariakoo.
Mimi nimepanga jirani tu na kazini kwangu, kilomita 8, hata sa 1:30 natoka kwangu na nafika kazini kabla ya ya 2:00 na maisha ni matamu sana.
Maisha ni hesabu, ukifanya miscalculation maisha yako yatakua magumu sana.
Hapo sawa mkuuHapana.
Napambana nitengeneze pesa familia yangu isiishi kerege.
Kweri kabisa kuna mshikaji alinunua pande za uko uncle wake akamfanyizia mambo akamjengea nyumba moja mbovu choo cha nje jamaa nasikia kuuona mjengo akaupiga nyundo wote hadi Leo anajenga, imani yake kutakuwa mjini soon nyumba inaitwa nyumba ya nyundo hapo mitaa ya kelege.acha usiwafuate waswahili wanaopenda Mjini.
Hapo Kerege patajakuwa Mjini kati kabisa, mwaka 1979 Sinza Makaburini ndio palikuwa mwisho wa Mji wa DSM linafuata pori hadi UDSM
Leo Kibaha ni Mjini kabisa ngoja hiyo njia 6 ya Highway km hukona mwendo kasi halishii Kimara
Ardhi ni mali huwezi linganisha Ardhi yenye ukubwa sawa kwa Miji ya Tanga, Dodoma au Mwanza
Tafuta wenyeji, Mkiti au Mjumbe wakutafutie wapangaji hiyo ni Rasilimali kubwa kuliko kupanga km Mhindi Mjini, Shika ardhi popote km Elimu kwani ni utajiri kuliko hao wezi wa leo tu
Unaifahamu nyumba ya nyundo? Jamaa kakomaa hataki tena kukaa mjini.Hhahaa kerege sio porini..sema kuna kaumbali..ukipanda mwenge ukiamua kulla unalala had unaota kbs.. I knw the place vilivyo!
Iyo nyumba au banda?Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1259979