establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Vp mkuu?Vipi mafuriko hukoo Kerege umepona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mkuu?Vipi mafuriko hukoo Kerege umepona?
Mbweni
Umepata mpangaji?
Nyumba asipokaa mtu inaharibikaKatokea mwalimu wa shule ya msingi jirani anataka kodi kwa mwezi 100,000/= nimekataa
Dawa yao kitimoto rostiKerege ulozi kama wote
CHAI!!!!Katokea mwalimu wa shule ya msingi jirani anataka kodi kwa mwezi 100,000/= nimekataa
Nyumba hii ndio umemuachia kijana na nguruwe wake au ile picha ya mwanzo?Nimeanza kufuga nguruwe kuna kijana nimemuacha hapo anaangalia mifugo
Acha wivu. Tafuta nawe hela ujengeNyumba hii ndio umemuachia kijana na nguruwe wake au ile picha ya mwanzo?
View attachment 1337838